Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Albino vijijini hatarini kupata saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie Albino kupatiwa matibabu saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), wamekuwa wakisumbuliwa na maradhi ya ngozi hususan saratani ya ngozi. Maradhi hayo hadi sasa, baadhi ya watu huyachukulia kuwa labda hayana tiba, hiyo inatokana...

 

9 years ago

Mtanzania

Wapenda makalio makubwa hatarini kupata saratani ya ubongo

Jamii Yetu Pull Out. Siah.inddNI kitendo chenye madhara makubwa kwa afya na hata kuchukua uhai wa mwanadamu, lakini hakielekei kukoma
miongoni mwa wanawake kwa sababu tu ya kuabudu urembo.

Ni uchomaji sindano makalioni ili kuyakuza kuwa katika ukubwa wanaoutaka, ambao hapa Tanzania kwa jina la mitaani unajulikana kama makalio ya Kichina.

Wanawake kote nchini Marekani na kwingineko duniani wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kumiminika katika ‘soko jeusi’ la upandikizaji makalio ili wapate yenye ukubwa...

 

11 years ago

Michuzi

ASILIMIA 25 YA WANAWAKE WAKO HATARINI KUPATA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akizungumza na wadau kuhusu majukumu ya T-Marc.  Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu, mgeni rasmi wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha jamii kuhusu huduma za uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliondaliwa na taasisi isiyo ya Kiserikali ya T- Marc Tanzania katika mkutano na wadau mbalimbali wa afya mkoa wa Iringa uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Veta.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Saratani ya ngozi: Tishio Uingereza

Uingereza imetajwa kuwa katika hatari zaidi ya kukabiliwa na ugonjwa wa saratani ya ngozi.

 

11 years ago

GPL

UGONJWA WA SARATANI YA NGOZI (MELANOMA)-2

WIKI iliyopita tulieleza jinsi ugonjwa huu unavyomuingia mtu na matatizo yake.
 Tulieleza dalili lakini nyingine ni tezi za mwili za kwenye makwapa na kwenye nyonga huvimba, mgonjwa atatokwa na uvimbe kwenye ngozi, atapoteza uzito kwa kasi bila kujua sababu, atapata kikohozi kisichoisha, atapoteza fahamu au kupata kifafa,  ataumwa kichwa. TIBA
Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyika katika makundi mbalimbali....

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAS: Serikali iongeze huduma saratani ya ngozi

CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi (TAS) kimeitaka serikali kuongeza vituo vya afya vitakavyokuwa vinatoa huduma ya saratani ya ngozi. Ombi hilo lilitolewa jijini Dar es Salaam jana na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Saratani:Watu warefu wamo hatarini

Utafiti wa kampuni moja ya Sweden uliofanyiwa watu milioni 5 umeonekana kuthibitisha nadharia kwamba urefu wa mtu na hatari za ugonjwa wa saratani zina uhusiano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani