Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGONJWA WA SARATANI YA NGOZI (MELANOMA)-2

WIKI iliyopita tulieleza jinsi ugonjwa huu unavyomuingia mtu na matatizo yake.
 Tulieleza dalili lakini nyingine ni tezi za mwili za kwenye makwapa na kwenye nyonga huvimba, mgonjwa atatokwa na uvimbe kwenye ngozi, atapoteza uzito kwa kasi bila kujua sababu, atapata kikohozi kisichoisha, atapoteza fahamu au kupata kifafa,  ataumwa kichwa. TIBA
Kuna tiba nyingi za kitabibu, zilizogawanyika katika makundi mbalimbali....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

AFYA YA NGOZI: Saratani ya ngozi aina ya Melanoma ni hatari kiasi gani?

>Tangu tuanze kuichambua mada hii ya maradhi ya saratani ya ngozi, tumeangazia mambo mbalimbali ikiwamo saratani ni nini, aina za saratani, makundi ya watu yanayoathiriwa zaidi na saratani hii ya ngozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Saratani ya ngozi: Tishio Uingereza

Uingereza imetajwa kuwa katika hatari zaidi ya kukabiliwa na ugonjwa wa saratani ya ngozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAS: Serikali iongeze huduma saratani ya ngozi

CHAMA cha watu wenye ulemavu wa ngozi (TAS) kimeitaka serikali kuongeza vituo vya afya vitakavyokuwa vinatoa huduma ya saratani ya ngozi. Ombi hilo lilitolewa jijini Dar es Salaam jana na...

 

10 years ago

Habarileo

Albino vijijini hatarini kupata saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wadau wasaidie Albino kupatiwa matibabu saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino), wamekuwa wakisumbuliwa na maradhi ya ngozi hususan saratani ya ngozi. Maradhi hayo hadi sasa, baadhi ya watu huyachukulia kuwa labda hayana tiba, hiyo inatokana...

 

11 years ago

GPL

WEMA: UGONJWA WA NGOZI UMENIHARIBU

Stori: Musa Mateja MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka. Miss Tanzania 2006/07 Wema Sepetu. Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo lingekuwa kubwa, kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.
“Ulianza muwasho, kikawa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Saratani sio ugonjwa wa kisasa

Watafiti nchini Uingereza wamegundua Saratani katika mifupa ya kijana mmoja aliyekuwa anaishi nchini Misri miaka 3000 iliyopita

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO-3

Kitaalamu dawa za kutibu saratani hii imegawanyika katika makundi mawili ipo iitwayo Vincristin, ya pili ni Methotrexate na dawa nyingine inayofahamika kama Cytarabin. Dawa nyingine ambayo ni muhimu sana huitwa Cyclophosphamide. Daktari akimuona mgonjwa anaweza kumpa dawa kwa kupitia njia ya mishipa ya damu pia ipo dawa ambayo mgonjwa hupewa kupitia uti wa mgongo. Kundi la pili la dawa zinazotumika kutibu saratani hii lina dawa...

 

10 years ago

GPL

FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO

Saratani au kansa zipo za aina nyingi lakini leo tutachambua ya  watoto ambayo kitaalamu inaitwa  Non Hodgkin’s Lymhona na  huwapata watoto wadogo wenye umri kati ya miaka mitatu na tisa. Saratani hii hujitokeza kutoka kwenye mfumo wa damu inayohusika na kinga ya mwili yaani Lymphatic system kwa kitaalamu na mara nyingi hushambulia tezi zinazoshughulika na kinga ya mwili wa mtoto na huweza kusababisha kifo. MAENEO...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani