Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASILIMIA 25 YA WANAWAKE WAKO HATARINI KUPATA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI.

 Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akizungumza na wadau kuhusu majukumu ya T-Marc.  Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Diana Kisaka akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Wamoja Ayubu, mgeni rasmi wa uzinduzi wa mradi wa kuhamasisha jamii kuhusu huduma za uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi uliondaliwa na taasisi isiyo ya Kiserikali ya T- Marc Tanzania katika mkutano na wadau mbalimbali wa afya mkoa wa Iringa uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha Veta.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TZ kinara saratani ya shingo ya uzazi

Daktari anayetibu maradhi ya saratani katika Hospitali ya Ocean Road, Dominista Kombe alisema jana mjini hapa kuwa Tanzania inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wenye saratani ya shingo ya kizazi kwa nchi zote za Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

mamilioni wako hatarini kupata malale

Watu milioni sitini walio kusini mwa jangwa la sahara wako hatarini kupata ugonjwa wa malale

 

10 years ago

Habarileo

Albino vijijini hatarini kupata saratani ya ngozi

WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.

 

9 years ago

Mtanzania

Wapenda makalio makubwa hatarini kupata saratani ya ubongo

Jamii Yetu Pull Out. Siah.inddNI kitendo chenye madhara makubwa kwa afya na hata kuchukua uhai wa mwanadamu, lakini hakielekei kukoma
miongoni mwa wanawake kwa sababu tu ya kuabudu urembo.

Ni uchomaji sindano makalioni ili kuyakuza kuwa katika ukubwa wanaoutaka, ambao hapa Tanzania kwa jina la mitaani unajulikana kama makalio ya Kichina.

Wanawake kote nchini Marekani na kwingineko duniani wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kumiminika katika ‘soko jeusi’ la upandikizaji makalio ili wapate yenye ukubwa...

 

9 years ago

StarTV

Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:

 

Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.

Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

 

11 years ago

Habarileo

Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi

HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.

 

9 years ago

GPL

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (SERVICAL CANCER)

Hii ni saratani inayojitokeza katika shingo ya kizazi na kusambaa ndani na nje ya kizazi. Hii ni kutokana na ukuaji usio wa kawaida wa chembe hai sehemu hiyo, seli au chembe hai hizi zina tabia ya kusambaa kwa kasi na kushambulia maeneo mengine ya mwili. Tatizo linapotokea huwa hakuna dalili kubwa za awali zaidi ya kutokwa na damu ukeni, maumivu ya nyonga na maumivu wakati wa tendo la ndoa, wakati mwingine damu inatoka baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani