SHULE HATARINI KUANGUKA

Na John Gagarini, Globu ya Jamii - Chalinze
WANANCHI wa Kijiji cha Mkoko wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wameiomba Halmashauri kubomoa baadhi ya madarasa ya shule ya Msingi Mkoko ambayo yananyufa na yako hatarini kuanguka hivyo kufanya wanafunzi kusoma kwa hofu.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo hivi karibuni Muhsin Mkumbi alisema kuwa majengo hayo yako kwenye hali mbaya na wakati wowote yanaweza kuanguka na kuleta madhara.
Mkumbi alisema kuwa madarasa hayo ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Siasa hatarini kuua elimu shule binafsi
10 years ago
Habarileo29 Jan
Wanafunzi shule za Papa, Jitengeni wamo hatarini
WANAFUNZI wa shule za msingi Papa na Jitengeni katika kata za Vunta na Kihurio wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na kusomea katika madarasa chakavu yanayotishia kuanguka wakati wowote.
10 years ago
StarTV03 Feb
Wanafunzi Shule ya Msingi Mwabujose hatarini kuangukiwa na ukuta
Na Projestus Binamungu,
Simiyu.
Wanafunzi wa shule ya msingi Mwabujose wilayani Busega mkoani Simiyu wako hatarini kuangukiwa na kuta za madarasa ya shule hiyo.
Ni kutokana na baadhi ya madarasa kukaa kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati tangu yalipojengwa.
Wanafunzi 716 wa shule ya msingi Mwabujose iliyokuwepo kwa miaka 40 iliyopita katika kata ya Kalemela wilayani Busega.
Umri wa shule hii unadhihirisha kuwa imechoka kutokana na baadhi ya madarasa kuonesha kila dalili za kutaka...
11 years ago
Habarileo09 Jun
Chanzo kuanguka wasichana shuleni
UGONJWA wa kuanguka na kupiga kelele unaowakumba baadhi ya wasichana katika shule mbalimbali nchini, umetajwa kusababishwa na maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa yasiyokuwepo.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
CCM ijiandae kuanguka na Lowassa
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), sasa ndiye anayekitesa chama chake kwa harakati zake ‘haramu’ za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Nasema harakati haramu kwakuwa chama chake...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Maadili yanachangia kufaulu au kuanguka darasani
WIKI iliyopita Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita ambayo yameonyesha ufaulu wa mwaka huu umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana.
Kwa mujibu wa matokeo hayo, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61 yaani yametoka katika asilimia 98.26 mwaka jana hadi asilimia 98.87 mwaka huu.
Matokeo hayo pia yaonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu kwa asilimia 98.56, huku wavulana wamefaulu kwa asilimia 97.26.
Hili ni suala la kujivunia...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Kuanguka kwa Mugabe kwageuzwa utani
10 years ago
Mwananchi14 Aug
Membe afunguka kuanguka urais CCM