Kuanguka kwa Mugabe kwageuzwa utani
Baada ya Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kuteleza na kuanguka katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Harare, watu wengi duniani wamechukulia kitendo cha kuanguka kwa rais huyo kama staili ya kutembea wakiwa na lengo la kumdhihaki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Rais Mugabe atimua walinzi wake 27 baada ya kuanguka
9 years ago
Bongo502 Nov
Video: Afya ya Mugabe yazidi kuwa utata baada ya kutaka kuanguka hadharani India
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Urusi matatani kuhusu kuanguka kwa ndege
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Kwa harakati hizi za CHADEMA, CCM ijiandae kuanguka
HONGERA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hongereni sana viongozi wa CHADEMA kwa harakati zenu za kisiasa. Wiki iliyopita, CHADEMA ilianzisha ziara ya nchi nzima kupitia Operesheni M4C Pamoja Daima...
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Kampuni ya China yakanusha kuhusika na kuanguka kwa jengo
Wananchi wakingalia jengo la gorofa lililoporomoka katika makutano ya mitaa ya Indira Gandhi na Asia jijini Dar es Salaam mwezi Machi mwaka 2013. (Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Kampuni ya ujenzi ya CRJE kutoka China imekanusha vikali kuhusika na jengo la ghorofa lililoporomoka katika makutano ya mitaa ya Indira Gandhi na Asia jijini Dar es Salaam mwezi Machi mwaka 2013.
Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana, inaeleza kuwa kampuni hiyo haikuwahi kushiriki...
9 years ago
GPLWATENGENEZA MAKOMBORA WA RUSSIA WAPINGA RIPOTI YA KUANGUKA KWA NDEGE
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Ufafanuzi wa tukio la kuanguka kwa jukwaa la jengo la NHFI Mkoani Mbeya
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati akizungumza waandishi wa habari kuhusu kuvunjika kwa uzio wa jengo la mfuko huo linalojengwa mkoani Mbeya kutokana na kukumbwa na mvua na upepo mkali, amesema jengo hilo liko salama kabisa ila uzio unaosaidia kuwakinga wajenzi ndiyo ulioanguka kutokana na upepo huokulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa NHIF,Bw Rehani Athuman.
Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akifafanua jambo wakati akizungumza...
9 years ago
Michuzi03 Nov
UFAFANUZI WA TUKIO LA KUANGUKA KWA JUKWAA LA JENGO LA NHFI MKOANI MBEYA