Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATENGENEZA MAKOMBORA WA RUSSIA WAPINGA RIPOTI YA KUANGUKA KWA NDEGE

SHIRIKA la kutengeneza makombora la serikali nchini Russia limesema uchunguzi wake wa mwaka jana kuhusu kuanguka kwa ndege ya abiria ya Malyasia yenye usajili wa namba MH17 katika eneo linaloshikiliwa na waasi mashariki mwa Ukraine, unapingana na ripoti iliyotolewa na kikundi cha uchunguzi cha Uholanzi. Matokeo ya uchunguzi huo ya Uholanzi yatatolewa leo. Yan Novikov, kiongozi wa shirika hilo la Russia liitwalo Almaz-Antey,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Urusi matatani kuhusu kuanguka kwa ndege

Mataifa ya magharibi yaitaka urusi kuyashinikiza makundi ya wapiganaji wanaounga mkono Urusi kuhusu eneo la mkasa wa ndege

 

9 years ago

GPL

ALIENS WATENGENEZA NDEGE KAMA SAHANI

Wiki iliyopita nilianza kuliangalia Eneo la Area 51 ambalo linahusishwa na hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens. Eneo hili lipo katika Jimbo la Nevada nchini Marekani ambapo kama ilivyokuwa kwa Bermuda Triangle, nalo limejaa mauzauza ya kila aina. SASA ENDELEA… Japo ni siri kubwa lakini inaaminika kuwa wapo Aliens wanaoishi eneo hilo ambalo lina ngome kubwa ya kijeshi ambayo mlango wake wa kuingilia umetengenezwa kamba...

 

9 years ago

GPL

MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.…

 

11 years ago

Mwananchi

Miili zaidi ya 100 yaokotwa baada ya ndege ya Malaysia kuanguka Ukraine

Mabaki ya miili zaidi ya 100 yameokotwa jirani na eneo ilipoanguka ndege ya Malaysian Airlines kule Grabovo jirani na mpaka wa Ukraine na Urusi leo.

 

11 years ago

CloudsFM

Ripoti: Ndege ya Algeria iliyobeba watu 116 imethibitishwa kuwa imeanguka

Ndege ya shirika la Algeria iliyokuwa imebeba abiria 116 ambayo awali iliripotiwa kuwa imepoteza mawasiliano kwa zaidi ya dakika 50 imethibitishwa kuwa imeanguka.

Kwa mujibu wa Aljazeera, maafisa wa Algeria wamethibitisha kuwa ndege hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Burkina Faso kwenda katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imeanguka Kusini mwa Mali.

Maafisa wa serikali ya Ufaransa wameeleza kuwa ndege hiyo AH5017 ilipotea kwenye radar katika eneo la Mali baada ya mvua kubwa kunyesha na...

 

10 years ago

Michuzi

Twiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga

 Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC),  Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph. Mkurugenzi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambulia Taliban kwa makombora saa kadhaa baada ya mkataba

Hii inakuja siku moja baada ya rais Trump kuzungumza na kundi hilo kuhusu juhudi za kuimarisha mchakato wa amani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuanguka kwa Mugabe kwageuzwa utani

Baada ya Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kuteleza na kuanguka katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Harare, watu wengi duniani wamechukulia kitendo cha kuanguka kwa rais huyo kama staili ya kutembea wakiwa na lengo la kumdhihaki.

 

5 years ago

Michuzi

KIGOGO WA ACT WAZALENDO ANG'ATUKA, ARUSHA MAKOMBORA KWA ZITTO NA MAALIM SEIF


Charles James, Globu ya Jamii

KIMENUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekua Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Yeremia Maganja kutangaza kukihama chama hicho kwa kile alichoeleza kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.

Maganja ambaye pia amewahi kuwa mshauri wa ACT amesema sababu kuu zilizomfanya ajiondoe kwenye chama hicho ni namna ambavyo uchaguzi mkuu uliofanyika Machi mwaka huu ulivyoendeshwa pamoja na ujio wa Maalim Seif Sharif Hamad kutokea Chama cha Wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani