Twiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga
![](http://3.bp.blogspot.com/--IpS7gNnYH8/VZDvaf7eRuI/AAAAAAAHla0/k8XtkHoQi94/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph.
Mkurugenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA TWIGA CEMENT YATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI BORA WA MATOFALI
9 years ago
MichuziTANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-WQMyrYPqVsk/VdsT0hMSpiI/AAAAAAAHznY/tVUywX7hln0/s640/02.jpg)
5 years ago
MichuziTANGA CEMENT (PLC) WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID -19 TANGA
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kusaidia mapambano ya virusi vya Covid 19 kwa ajili ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na Jeshi la Polisi Mkoa huo kutoka kwa Mtendaji Mkazi wa Kiwanda cha Tanga Saruji cha Cement PLC Mhandisi Benedict Lema kushoto wanaoshuhudia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari kulia na kushoto Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Blasius Chatanda
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kulia akipokea msaada wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lL2zlv-9190/XrUyw2XExWI/AAAAAAALpeY/jqf-MEZi6D8ywW_3smkW0HcB3Y6wqKv5QCLcBGAsYHQ/s72-c/6d92ec28-72f4-46f2-8e07-8e14b96d4b25.jpg)
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9gq4S5QqcIM/VayinZ10NoI/AAAAAAAHqnA/K88X6ucTFAo/s72-c/board_reinhardt.jpg)
Tanga Cement MD Appointed East Africa Cement Producers Association Tanzania Chair
![](http://3.bp.blogspot.com/-9gq4S5QqcIM/VayinZ10NoI/AAAAAAAHqnA/K88X6ucTFAo/s400/board_reinhardt.jpg)
The East Africa Cement Producers Association (EACPA) brings together cement manufacturing companies from Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi. EACPA TZ is a chapter of the East Africa Association which includes Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, and Tanzania. EACPA...
11 years ago
Mwananchi01 May
Gawio la hisa Twiga Cement lapanda kwa asilimia tano
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA TANGA CEMENT WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MJINI TANGA LA NGAMIANI
11 years ago
Dewji Blog26 May
Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,
KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Twiga Cement dividends up 5%
Tanzania Portland Cement Co Ltd (TPCC)Managing Director, Alfonso Rodriguez addressing the company’s shareholders during the TPCC 22nd Annual General Meeting in Dar es Salaam on Tuesday. On his left are board members; Company Secretary, Amon Elieneza, Board Chairman, Jean-Marc Junon and Joseph Rugumyamheto who is also TPCC board member.
By Staff Writer
Shareholders for Tanzania Portland Cement Company (TPCC) Limited will be smiling all the way to the bank as the company has increased 2013...