TANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI
Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa Tanga Cement,Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rosmini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--IpS7gNnYH8/VZDvaf7eRuI/AAAAAAAHla0/k8XtkHoQi94/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
Twiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga
![](http://3.bp.blogspot.com/--IpS7gNnYH8/VZDvaf7eRuI/AAAAAAAHla0/k8XtkHoQi94/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-et0CHd3Qo0k/VZDvbUW0kzI/AAAAAAAHla8/WDAXhPqUMm8/s640/unnamed%2B%25282%2529.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SR7L5mjyzUI/XoS5_v2HAVI/AAAAAAALl0Q/kwBpgTKvkusLrilPtLxP5v5t_j_dwsVNwCLcBGAsYHQ/s72-c/7a0150c6-ad7f-4891-ae25-d8ec831c3923.jpg)
TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...
11 years ago
Dewji Blog26 May
Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,
KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...
10 years ago
MichuziMh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Benki ya Barclays yatoa somo la ajira kwa wanafunzi wa UDBS
Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Barclays Tanzania, Anna Chacha (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS) jana kuhusu fursa mbalimbali za ajira ndani ya benki hiyo na pia nini wafanye ili kuweza kumudu ushindani katika soko la ajira ndani ya sekta za kibenki.
![02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/029.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDNXy8soBPqLr*su9M0giv6eI21wQ2M2JlVx8lERVgbolSX1q3pEQGKJt6V0g9gHnqNFiCJuoJhHYkJgxsNNAwb6/Airtel1.jpg?width=650)
AIRTEL YATOA SOMO KWA WANAFUNZI KUTUMIA VYEMA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lL2zlv-9190/XrUyw2XExWI/AAAAAAALpeY/jqf-MEZi6D8ywW_3smkW0HcB3Y6wqKv5QCLcBGAsYHQ/s72-c/6d92ec28-72f4-46f2-8e07-8e14b96d4b25.jpg)
RC TANGA APOKEA VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 20.4 KUTOKA TANGA CEMENT KWA AJILI KUKABILIANA NA CORONA
Mwandishi Wetu, Michuzi TV -Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amepokea misaada yenye thamani ya jumla ya Shilingi milioni 20.4 kutoka Kampuni ya Tanga Cement kwa ajili ya kukabiliana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akizungumza baada ya kupokea msaada huo mkoani hapa, Shigile amesema kuwa kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo wanaishukuru kampuni hiyo kwa namna ilivyoguswa katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
"Kama...