Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ambapo wanafunzi hao walipata nafasi ya kumuuliza maswali na kuyajibu kabla hajafungua maabara ya sayansi na maktaba na mahafali ya tano ya kidato cha sita ya shule hiyo. Wengine wanaoonekana ni wageni alioambatana nao na walimu wa Tusiime.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Akisikiliza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

CloudsFM

HAPPINESS MAGESE ATOA SOMO KWA WANAFUNZI

MWANAMITINDO maarufu ulimwenguni na mshindi wa taji la Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Magese, kupitia mradi wake wa Millen Magese Foundation, leo amewapa semina wasichana wa shule za sekondari Mtakukuja na Kondo pamoja na wasichana wa shule za msingi Mtakuja na Mtongani juu ya ugonjwa wa Endometriosis ambao huwatesa wanawake wengi kwa maumivi makali na pengine ugumba.Mwanamitindo huyo alitoa somo hilo kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mtakuja ambapo watu zaidi ya 1200 walielimishwa juu...

 

9 years ago

Michuzi

TANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje  wa Tanga Cement,Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga jana.  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE CHINI YA ULINZI KWA MBINU YA KULIPUA MBWENI

Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi.Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani (wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi bweni lilivyoteketezwa kwa moto huku akiwa na askari wake. Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi.

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAPELEKA SOMO LA ICT SHULE ZA SEKONDARI VIJIJINI.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Vodacom,Tanzania wakiwa katika ofisi za Mkuu wa Shue ya Sekondari Shimbwe iliyopo kata ya Uru wilayani Moshi vijijini ambako walifika kwa ajili ya kujionea uwekwaji wa programu za kujifunzia katika Kompyuta mpakato zilizotolewa shuleni hapo na Vodacom.Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali na Learning In sync Tanzania,Lisa Wolker akitoa maelezo kwa Mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Henry Tzamburakisi kuhusiana na...

 

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Maji, Prof. Mkumbo awatoa hofu wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani shule ya Sekondari Tumaini, wapewa vitakasa mikono vya kutumia kwa siku 60



Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua eneo la kunawa mikono katika kukabiliana na maambukizi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika shule ya sekondari ya Tumaini, mkoani Singida ambapo wanafunzi zaidi ya 100 wanajiandaa kwa mtihani wa kidato cha Sita. Kulia kwake anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na wanafunzi wa shule ya sekondari Kibosho

PG4A4849

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4869

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani