WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NJOMBE CHINI YA ULINZI KWA MBINU YA KULIPUA MBWENI
Wanafunzi hao wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kabla ya kupelekwa kituo cha polisi.Bweni linalodaiwa kuchomwa na wanafunzi hao.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Njombe, Fulgence Ngonyani (wa pili kushoto) akionyeshwa jinsi bweni lilivyoteketezwa kwa moto huku akiwa na askari wake. Wanafunzi hao wakiingizwa katika gari la polisi.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM09 Oct
WANAFUNZI NJOMBE WAWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUCHOMA SHULE
Kamishna wa Elimu Nchini Ameifunga Shule ya Sekondari ya Njombe (NJOSS) Kwa Muda wa Mwezi Mmoja Kutokana na Vurugu Zilizotokea Katika Shule Hiyo na Kusababisha Hasara ya Zaidi ya Shilingi Milioni Moja.Akifunga Shule Hiyo Kwa niaba ya Kamishna wa Elimu Nchini, Afisa Elimu Shule za Sekondari Mkoani Njombe Said Nyasiro Amesema Wameifunga Shule Hiyo Kutokana Uharibifu Uliofanywa na Wanafunzi Ikiwemo Kuchoma Jengo la Bweni na Karakana Pamoja Kupisha Uchunguzi Juu ya Tukio Hilo.Aidha Afisa Elimu...
9 years ago
VijimamboWANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA YA JIJINI DAR-ES-SALAAM WAJIFUNZA MBINU ZA KUZIMA MOTO
9 years ago
MichuziWanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wajifunza mbinu za kuzima moto
10 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
10 years ago
MichuziMh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime
5 years ago
MichuziShule za sekondari Njombe zapigwa jeki kompyuta,printa kuboresha elimu
Mbunge wa viti maalum mkoani Njombe kupitia chama cha mapinduzi Mhe, Neema Mgaya amekabidhi Kompyuta kumi zenye thamani ya milioni 17,370,000/=.kwa baadhi ya shule za sekondari mkoani Njombe ili kuboresha na kuinua taaluma katika mkoa huo.
Aidha mbunge huyo ametoa Printer mbili zenye thamani ya Tsh milioni 1,905,062, kebo nane kwaajili ya Umeme zilizogharimu kiasi cha Tsh, lakimbili na kufanya jumla ya vifaa vyote alivyovitoa katika ziara hiyo kufikia kiasi cha Tsh...
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu Maji, Prof. Mkumbo awatoa hofu wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani shule ya Sekondari Tumaini, wapewa vitakasa mikono vya kutumia kwa siku 60
Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo akizindua eneo la kunawa mikono katika kukabiliana na maambukizi ya Virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika shule ya sekondari ya Tumaini, mkoani Singida ambapo wanafunzi zaidi ya 100 wanajiandaa kwa mtihani wa kidato cha Sita. Kulia kwake anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya...
9 years ago
GPLWANAFUNZI SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA SMART SCHOOL CHINI YA VODACOM FOUNDATION