Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda akutana na wanafunzi wa shule ya sekondari Kibosho

PG4A4849

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A4869

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI KIBOSHO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kibosho wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakiwa katika ziara ya kujifunza masuala ya usafiri wa anga. Mheshimiwa Pinda alikuwa akienda Dar es salaam akitoka Arusha Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KIBOSHO

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kibosho, Mhandisi Aloyce Peter Mushi akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Kibosho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizindua jengo la mahabara ya Shule ya Sekondari Kibosho, wakati wa mahafali ya 30 ya kidato cha sita yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, sista Anna na kulia ni...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

11 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANZESE WATEMBELEA GLOBAL

Mhariri Mtendaji Richard Manyota (kulia) wa Global Publishers akifafanua jambo mbele ya wanafunzi hao. Wanafunzi hao wakitunza kumbukumbu za maelezo muhimu.…

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA WAJIFUNZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala. Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala.
‘’Tayari tumeuzima’’ walisikika wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ambapo wanafunzi hao walipata nafasi ya kumuuliza maswali na kuyajibu kabla hajafungua maabara ya sayansi na maktaba na mahafali ya tano ya kidato cha sita ya shule hiyo. Wengine wanaoonekana ni wageni alioambatana nao na walimu wa Tusiime.WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Akisikiliza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali kuwazawadia wanafunzi na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri

ShukuruKawambwa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.

Na Mwandishi Wetu

Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam Jumatatu April 14, 2014 na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa alipozungumzia na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu.

Kwa mujibu wa Dkt....

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Kibuteni Zanzibar

PG4A8205

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A8187

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka  jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani