Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPUNI YA TWIGA CEMENT YATOA MAFUNZO YA UTENGENEZAJI BORA WA MATOFALI

 Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Simon Delens, akizungumza wakati wa semina kuhusu utengenezaji wa bora wa matofali waliyowaandalia watengeneza matofali na wasambazaji wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Meneja Undelezaji Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Danford Semwenda, akitoa mada wakati wa semina kuhusu utengenezaji wa bora wa matofali waliyowaandalia watengeneza matofali na wasambazaji wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Meneja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Twiga Cement Watoa somo kwa watengeneza matofali Tanga

 Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC),  Simon Delens (kushoto), akizungumza katika semina ya utengenezaji wa matofali iliyoandaliwa na kampuni hiyo ambapo zaidi ya watengeneza matofali 200 walifundishwa jinsi ya utengenezaji bora wa tofali, masuala ya afya na usalama kazini na biashara ya bidhaa hiyo. Semina hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kushoto kwake ni Mhandisi Emmanuel Owoya na Meneja Usambazaji, Tumaini Joseph. Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA MAGEREZA KUINGIA UBIA WA UCHIMBAJI MADINI YA CHOKAA NA KAMPUNI YA TWIGA CEMENT YA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) kabla ya kusaini Makubaliano ya ubia kati ya Shirika la Magereza na Kmapuni hiyo ya uchimbaji madini ya chokaa katika eneo la Gereza Wazo Hill leo Agosti 21, 2014 Jijini Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza John Casmir Minja(kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alfonso Rodrudges(kulia) wakisaini...

 

11 years ago

Dewji Blog

Twiga Cement dividends up 5%

01

Tanzania Portland Cement Co Ltd (TPCC)Managing Director, Alfonso Rodriguez addressing the company’s shareholders during the TPCC 22nd  Annual General Meeting in Dar es Salaam on Tuesday.  On his left are board members; Company Secretary, Amon Elieneza, Board Chairman, Jean-Marc Junon and Joseph Rugumyamheto who is also TPCC board member.

By Staff Writer

Shareholders for Tanzania Portland Cement Company (TPCC) Limited will be smiling all the way to the bank as the company has increased 2013...

 

11 years ago

TheCitizen

Twiga Cement approves dividend

Tanzania Portland Cement Company (TPCC) has approved a Sh195 dividend per share, a five per cent increase from that of 2012.

 

10 years ago

Vijimambo

Govt suspends Twiga Cement



Also ordered to pay Sh50million in fine

Tanzania Portland Cement Company (TPCC)
The National Environment Management Council (NEMC) yesterday suspended indefinitely Tanzania Portland Cement Company’s (TPCC) operations, ordering it to pay a hefty penalty amounting to Sh50million for polluting environment.
This follows residents’ complaints about the plant releasing the soot through its chimneys to residents homes causing serious health problems to families residing around it.
The firm also...

 

10 years ago

TheCitizen

Twiga Cement shut over pollution

>The National Environment Management Council (NEMC) yesterday closed down indefinitely country’s biggest cement producer —Tanzania Portland Cement Company (TPCC) — over environmental pollution.

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo kwa vijana jinsi ya kutumia njia bora za kuhudumia Majokofu na Viyoyozi

Kundi la washiriki kutoka mkoa wa Dar es Salaam wakielekezana jinsi ya kutumia vifaa rafiki ya kuhudumia Majokofu na Viyoyozi siku ya pili ya mafunzo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wakufunzi kutoka vyuo vya ufundi Mbeya, Mwanza na Mkunazini – Zanzibar wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kutumia njia rafiki ya kuhudumia majokofu na viyoyozi bila ya kuharibu tabaka la Ozoni. Picha na Rashda Swedi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani