Kwa harakati hizi za CHADEMA, CCM ijiandae kuanguka
HONGERA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hongereni sana viongozi wa CHADEMA kwa harakati zenu za kisiasa. Wiki iliyopita, CHADEMA ilianzisha ziara ya nchi nzima kupitia Operesheni M4C Pamoja Daima...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
CCM ijiandae kuanguka na Lowassa
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), sasa ndiye anayekitesa chama chake kwa harakati zake ‘haramu’ za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Nasema harakati haramu kwakuwa chama chake...
10 years ago
Mwananchi09 Feb
9 years ago
VijimamboBenard Membe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kuanguka Mbio za Urais- CCM
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kilichotokea mjini Dodoma na kusababisha ashindwe katika uteuzi wa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Membe amekuwa kada wa tatu kueleza hadharani jinsi uteuzi huo ulivyoendeshwa ambao Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, aliibuka kidedea kati ya makada 42 waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa.Makada wengine waliojitokeza hadharani kuelezea mchakato huo ni...
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Maalim Seif: CCM ijiandae kisaikolojia kukabidhi Z’bar
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Molloimet: Kukataa serikali tatu, CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Kwa siasa hizi, polisi, CCM mtatuingiza katika machafuko
MATUKIO ya polisi kuendelea kuua raia wasio na hatia kwa kutumia risasi za moto sehemu mbalimbali nchini, ni ishara kwamba Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza wajibu wake wa kulinda usalama...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Membe afunguka kuanguka urais CCM
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Corona Virus:Dunia lazima ijiandae kwa janga, WHO yasema
11 years ago
Mwananchi25 Jun
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Kwa ishara hizi umefika mwisho wa CCM kuwa madarakani