Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Afya ya Mugabe yazidi kuwa utata baada ya kutaka kuanguka hadharani India

mugabe-robert9Maafisa wa nchini Zimbabwe wamekanusha tetesi za kuwa afya ya Rais Robert Mugabe imezidi kuwa mgogoro baada ya Jumamosi kukaribia kuanguka hadharani. Mugabe alionekana akipepesuka wakati alipokuwa akipanda jukwaani katika mkutano wa India na Afrika wiki hii. Video zilizosambaa mtandaoni zinamuonesha waziri mkuu wa India Narendra Modi akimsaidia kumshika mkono Mugabe mwenye miaka 91. Msemaji […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rais Mugabe atimua walinzi wake 27 baada ya kuanguka

>Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewasimamisha kazi walinzi wake 27 ikiwa ni siku chache baada ya kuanguka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare wakati akirejea nyumbani akitokea Addis Ababa, Ethiopia.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuanguka kwa Mugabe kwageuzwa utani

Baada ya Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe kuteleza na kuanguka katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Harare, watu wengi duniani wamechukulia kitendo cha kuanguka kwa rais huyo kama staili ya kutembea wakiwa na lengo la kumdhihaki.

 

9 years ago

MillardAyo

Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)

Unaweza kukosea ukaomba radhi lakini watu wasiwe wepesi kukusamehe au kukuelewa kwamba umejikwaa kibinadamu… utata na kelele ziliibuka kwenye stage ya Planet Hollywood, Las Vegas Marekani saa chache zilizopita. Noma zaidi ni kwamba ishu haikuishia kwenye stage wala ukumbini, watu wakaingia mitandaoni kila mmoja akiongea la kwake huku wengi wakionekana kama hawajachukulia poa kosa la MC […]

The post Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)...

 

10 years ago

GPL

KATIBU BAKWATA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI

Stori: Mwandishi Wetu, Mbeya
MAJANGA! Siku chache baada ya aliyekuwa Shehe Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Abubakar Mketo kufariki dunia akiwa kaburini akizika, kiongozi mwingine wa Kiislam, Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa naye amefariki dunia baada ya kuanguka chooni. Katibu Mkuu wa Bakwata Mkoa wa Mbeya, Juma Killa (wa pili kushoto) wakati wa uhai wake. Marehemu Killa alianguka chooni nyumbani kwake, Mtaa wa...

 

9 years ago

GPL

MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.…

 

10 years ago

GPL

AUGUST ALSINA AENDELEA NA MATIBABU BAADA YA KUANGUKA JUKWAANI NA KUZIMIA

MWANAMUZIKI wa R&B wa nchini Marekani, August Alsina anaendelea na matibabu hospitali baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo na kuanguka jukwaani usiku wa kuamkia jana wakati akitumbuiza katika ukumbi wa Irving Plaza jijini New York. August Alsina. Mwakilishi wa mwanamuziki huyo amesema August yupo ICU katika hospitali moja jijini New York City anapoendelea kupata… ...

 

11 years ago

GPL

AFARIKI BAADA YA KUANGUKA KATIKA JENGO LA BENKI JIJINI LONDON

Sehemu ya juu ya jengo la benki ya PJ Morgan (iliyozungushiwa mduara mwekundu) ambayo mtu huyo anasemekana alijirusha na kuangukia sehemu ya chini (yenye mduara) na kufa. Eneo la jumla la sehemu lilipotokea tukio hilo. (Picha: David Price) MTU mmoja mwenye umri wa miaka 39, amefariki leo asubuhi majira ya saa mbili baada ya kuanguka kutoka jengo la makao makuu ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani