Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadili yanachangia kufaulu au kuanguka darasani

WIKI iliyopita Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita ambayo yameonyesha ufaulu wa mwaka huu umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana.

Kwa mujibu wa matokeo hayo, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61 yaani yametoka katika asilimia 98.26 mwaka jana hadi asilimia 98.87 mwaka huu.

Matokeo hayo pia yaonyesha kuwa wasichana wameongoza kwa ufaulu  kwa asilimia 98.56,  huku wavulana wamefaulu kwa asilimia 97.26.

Hili ni suala la kujivunia...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magonjwa ya moyo yanachangia kushusha uchumi

ATHARI za magonjwa ya moyo zimeendelea kujitokeza kila siku duniani na kuchangia kwa kiasi kikubwa utendaji kazi wa baadhi ya watu kushuka, hivyo kushusha kipato cha familia na taifa kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo haya yanachangia uhaba wa walimu wa sayansi

Kwa mujibu wa sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014, asilimia tano ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi ndiyo wanaofika mpaka kidato cha tano na sita. Asilimia nne wanajiunga na masomo ya elimu ya juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri ya kufaulu usaili wa kazi- 2

Wiki iliyopita tulijifunza baadhi ya mbinu zinazoweza kumsaidia mtu anayetafuta ajira pindi anapojiandaa na usaili wa kazi.

 

10 years ago

GPL

KUSOMA SANA SIYO KUFAULU

SIYO wanafunzi tu, lakini hata watu wengi wamekuwa na dhana kwamba mwanafunzi anayesoma sana ndiye mwenye akili nyingi na kumtabiria kufaulu vizuri kuliko yule ambaye anasoma mara chache. Kimantiki mtazamo huo haupingiki kwa kuwa hata kwenye suala la afya mtu akiwa mnene basi huchukuliwa kuwa ni mwenye afya njema huku mwembamba akitazamiwa kama mtu mwenye matatizo ya kiafya jambo ambalo pia huweza kuwa kinyume chake. Vivyo hivyo...

 

5 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma

Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela ( wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Maadili walipofanya ziara yao katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu Dodoma hivi karibuni kwa lengo la kujifunza. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Jaji (Mst) Ibrahim Mipawa akifuatiwa na Immaculate Ngwalle na kushoto kwa Kamishna, Peter Ilomo.Kamishna wa Maadili, Jaji (Mst) Harold Nsekela akitoa neno la ukaribisho kwa Wajumbe wa Baraza...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.

Na. Ally Mataula Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa wanatimiza majukumu yao ya kila siku. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Ikulu Bw. Peter Ilomo wakati akifungua Mkutano wa kumi na mbili wa Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma uliofanyika Jijini Mbeya tarehe 28 Mei, 2014.  Bw. Ilomo alisema kuwa jukumu kubwa la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni kusimamia Maadili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano ulioko katika Chuo cha Polisi mjini Zanzibar.
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...

 

10 years ago

Habarileo

Spika aaga Wawakilishi, ajivunia kufaulu mtihani

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir KifichoSPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amewaaga wajumbe wa baraza hilo na kusema amefaulu mtihani mkubwa uliokuwa ukimkabili kuliongoza Baraza la Wawakilishi likiwa katika muundo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa mafanikio makubwa.

 

10 years ago

Mtanzania

JK awataka wanafunzi kufaulu kwa akili zao

Pg 1Patricia Kimelemeta
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wanafunzi wanaofanya mitihani kuhakikisha wanafaulu kwa akili zao na si kufaulishwa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa kupokea vitabu milioni 2.5 vilivyotolewa na Serikali ya Marekani kwa wanafunzi wa sekondari nchini, Rais Kikwete alisema idadi kubwa ya wanafunzi nchini wana juhudi za kusoma, jambo ambalo limesaidia kuongezeka kwa ufaulu mwaka hadi mwaka.
“Hakuna mwalimu anayemsaidia mwanafunzi katika mitihani, kila mmoja anafanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani