Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Godoro, miti ilivyowaokoa na kifo kwenye mafuriko

>Watoto wadogo walibebwa au kusimama kwenye mabega ya watu wazima, huku chumba kikiwa kimejaa maji. Hii ni hali ambayo ilitokea katika mafuriko ya hivi karibuni yaliyotokea Kilosa, mkoani Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Godoro, miti ilivyowaokoa watu kifo Dumila-2

Mmoja wa watu ambao wamepatwa na mkasa huo wa mafuriko anasema akiwa amelala usingizi alishangaa akivamiwa na maji.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwa nini watu hawa wanajitenga kwenye miti

Baadhi ya raia wa India wanajitenga na wengine kwa kukaa juu na chini ya miti.

 

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

12 wauawa kwenye mafuriko Ufaransa

Takriban watu 12 wameaga dunia Kusini mwa Ufaransa baada ya mvua iliyoandamana na upepo mkali kusababisha mafuriko

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA

Stori: Waandishi wetu/Risasi Mchanganyiko NYOTA wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda ambaye ni maarufu kama Bela, hivi karibuni alijikuta katika majonzi baada ya kijana wake wa kiume kuwasha moto na kuunguza godoro na ukuta wa sehemu ya nyumba aliyopanga. Godoro la Nyota wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda likiwa limeteketea kwa moto. Risasi Mchanganyiko lilimkuta msanii huyo akiwa amejiinamia nyumbani kwake muda...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA UCHUKUZI YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUFANYA USAFI NA KUPANDA MITI YA KUZUIA MMOMOMYOKO WA ARDHI KWENYE ENEO LA BANDARI YA DAR ES SALAAM LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wizara ya Uchukuzi, Bw. Issa Nchasi, akifanya usafi katika eneo la bandari ya Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo kwa mwaka huu kauli mbiu ni ‘Tunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Tanzania’. Sehemu ya wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake wakiwa kwenye zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la Bandari ya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MOROGORO WASHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE MAFURIKO

Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha mafuriko baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika baadhi ya maduka. Wakazi wa mji wa Morogoro wakizungumzia mafuriko hayo wamelalamikia miundombinu mibovu ya barabara kutokana na kuziba kwa mitaro ambapo wameitaka halmasauri ya mji wa Morogoro kuzibua mitaro hiyo huku baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia kupata hasara.Katika hatua nyingine mto Kikundi uliopo mjini Morogoro umepoteza uelekeo na kumwaga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani