MOROGORO WASHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE MAFURIKO
Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha mafuriko baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika baadhi ya maduka. Wakazi wa mji wa Morogoro wakizungumzia mafuriko hayo wamelalamikia miundombinu mibovu ya barabara kutokana na kuziba kwa mitaro ambapo wameitaka halmasauri ya mji wa Morogoro kuzibua mitaro hiyo huku baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia kupata hasara.Katika hatua nyingine mto Kikundi uliopo mjini Morogoro umepoteza uelekeo na kumwaga...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog31 Dec
9 years ago
Bongo529 Dec
Tekno wa Nigeria kutumbuiza jijini Dar kwenye mkesha wa mwaka mpya
![tekno-miles-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tekno-miles-1-300x194.jpg)
Msanii wa Nigeria anayefanya vizuri kwa sasa na hit song yake ‘Duro’, Tekno Miles anatarajiwa kutua jijini Dar es salaam wiki hii kwaajili ya kufunga mwaka na mashabiki wake wa Tanzania.
Tekno ambaye wiki chache zilizopita ameachia wimbo mpya ‘Wash’ unaoendelea kufanya vizuri, anatarajiwa kufanya show kwenye siku ya mwisho ya mwaka huu December 31, kwenye ukumbi wa King Solomon jijini Dar.
Kupitia akaunti yake ya Insta, Tekno aliyewahi kudaiwa kuwa na mahusiano na Agnes Masogange ameonesha...
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/--Dn0C2eb5gg/UsT1N-XaO-I/AAAAAAAADXc/rXYKmBT1-28/s1600/IMG-20140101-WA002.jpg?width=640)
MAKAMU BALOZI WA ZAMBIA, WAFANYAKAZI WA TIGO WASHEREKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA
9 years ago
MichuziMKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA
10 years ago
StarTV30 Dec
Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0527.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MKESHA WA MWAKA MPYA