Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya

Jeshi la Polisi nchini limeonya wananchi kujiepusha na vitendo vyovyote vitakavyoathiri amani iliyopo wakati huu dunia ikielekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA

Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vinavyohatarisha usalama wa raia mali zao.

Jeshi la Polisi nchini, limejipanga vizuri katika mikoa yote kwa kushirikiana na vyombo...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA.


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

                                                  WIZARA YA MAMBO YA NDANI

                                                     JESHI LA POLISI TANZANIA

                                                                                             31/12/2015TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI

KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA    


Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha  mwaka mpya wa  2016, wananchi hutumia muda huo kwenda  katika...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LIMEJIPANGA KIKAMILIFU KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA WA 2015

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepanga mikakati madhubuti ya kuhakikisha kwamba mkesha kuelekea Mwaka Mpya 2015 unakuwa salama, sherehe za mwaka mpya, kuandamana, baadhi ya watu wachache hasa vijana hupenda kuchoma matairi barabarani, kulipua fataki na vurugu za kila aina kwa lengo la kuonyesha furaha yao ya kuingia mwaka 2015.
Hali kama hiyo haitavumiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu badala ya sherehe hugeuka vitisho, vurugu, na kisha kuwatia hofu wananchi wasiokuwa na...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania. PICHA NA KILIMANJARO STUDIOWafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia...

 

10 years ago

Mwananchi

11 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka

Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka ili kulinda maisha ya watu na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia fursa hiyo kufanya vitendo viovu.

 

10 years ago

StarTV

Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.

 

Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MKESHA WA MWAKA MPYA

Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akizungumza na wakazi wa jiji la Mwanza waliojumuika na Skylight Band katika mkesha wa mwaka mpya ndani ya Pantoni FB CHACHA kwenye party la nguvu lililopewa jina la "THE ROCK CITY CRUISE PARTY" maalum kwa wakazi wa Mwanza na kwa mara ya kwanza kushuhudia steji mpya pamoja na vyombo vipya vya Bendi hiyo. Mmiliki wa Pantoni FB CHACHA Bw. Kitama akiwasalimia mashabiki wa Skylight Band jijini...

 

11 years ago

GPL

MARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana na sababu za kiusalama. Imeelezwa kwamba zuio hilo, linatokana na sababu za kiusalama na matishio mbalimbali ya kigaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Hayo yameelezwa na Kamisha wa Polisi Kanda, Suleiman Kova wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani