Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka

Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka ili kulinda maisha ya watu na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia fursa hiyo kufanya vitendo viovu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

9 years ago

StarTV

Upandishaji Nauli Kipindi Cha Sikukuu SUMATRA Mbeya yatoa tahadhari

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu nchni SUMATRA Mkoa wa Mbeya imewatahadharisha wamiliki wa vyombo vya usafiri kutokupandisha nauli katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho mwa mwaka.

Afisa Mfawidhi wa SUMATRA mkoani Mbeya Denis Daudi amesema mamlaka hiyo haitasita kuwachukulia hatua watoa huduma wakiwemo wamiliki, wafanyakazi na wapiga debe wa vyombo vya usafiri watakaokiuka agizo hilo.

Akizungumza na Star tv, Denis amesema yamejengeka mazoeza ya kila...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yawaonya walevi Sikukuu ya Pasaka

Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kuzitumia sikukuu za kidini kwa ulevi, badala yake wajikite kuimarisha upendo na amani.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waimarisha ulinzi sikukuu ya Pasaka

 Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo katika Ziwa Victoria pamoja na makanisani wakati wa Sikukuu ya Pasaka, na kuhadharisha wananchi kutoa taarifa watakapopata shaka kuhusu watu, au vitendo vinavyoashiria ugaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka

JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...

 

11 years ago

Michuzi

jeshi la polisi latahadharisha wananchi kuwa makini wakati wa sikukuu ya pasaka

SSP ADVERA SENSO Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao.  Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya

Jeshi la Polisi nchini limeonya wananchi kujiepusha na vitendo vyovyote vitakavyoathiri amani iliyopo wakati huu dunia ikielekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016.

 

10 years ago

GPL

MTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA

Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakiwa stejini wakati wa kumsifu Mungu na kumwabudu. Glorious Worship Team wakizidi kumwabudu Mungu katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station. Mpiga gitaa la sauti nzito (base) wa GWT, Emmanuel Materu akicharaza gitaa hilo. Pembeni yake ni…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani