Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


jeshi la polisi latahadharisha wananchi kuwa makini wakati wa sikukuu ya pasaka

SSP ADVERA SENSO Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao.  Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi yawaonya walevi Sikukuu ya Pasaka

Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kuzitumia sikukuu za kidini kwa ulevi, badala yake wajikite kuimarisha upendo na amani.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka

Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka ili kulinda maisha ya watu na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia fursa hiyo kufanya vitendo viovu.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waimarisha ulinzi sikukuu ya Pasaka

 Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo katika Ziwa Victoria pamoja na makanisani wakati wa Sikukuu ya Pasaka, na kuhadharisha wananchi kutoa taarifa watakapopata shaka kuhusu watu, au vitendo vinavyoashiria ugaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahadharishwa kuwa makini

Msemaji wa Polisi, Advera Bulimba JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SIKUKUU YA EID-EL-FITR KUTOKA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini. 
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’

Wananchi wametakiwa kukataa kuwalipa mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wakiwa nyumbani, badala yake wawaambie malipo yafanyike katika ofisi za shirika hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Jeshi la Polisi lajipanga kukabili uhalifu Pasaka

Advera BulimbaJESHI la Polisi nchini limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya uhalifu na kuwa makini na mali zao wakati huu wa sikukuu ya Pasaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani