Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’

Wananchi wametakiwa kukataa kuwalipa mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wakiwa nyumbani, badala yake wawaambie malipo yafanyike katika ofisi za shirika hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WANANCHI WATAKIWA KUWA MAKINI KUELEKEA MSIMU WA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Na. Tamimu Adam- Jeshi la Polisi
Jeshi la polisi nchini  limewataka wananchi kuimarisha na kutekeleza kwa vitendo dhana ya ulinzi jirani katika kipindi hiki cha kuelekea kuadhimisha sikukuu za  mwisho wa mwaka na kusherekea mwaka mpya kwani  ulinzi jirani ni mkakati madhubuti katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao hapa nchini.
Hayo yalisemwa  na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu mwandamizi wa Polisi Advera Bulimba wakati akitoa tahadhari ya usalama katika kipindi hiki cha kuelekea...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi watakiwa kuwa makini

VIJANA wasomi nchini wametakiwa kutokuwa chambo na kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa kutaka madaraka ya nchi bali wawaepuke hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

 

5 years ago

CCM Blog

WANAHABARI WATAKIWA KUWA MAKINI KWA KUJIKINGA NA CORONA



Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Rukwa Izrael Mwaisaka (Kushoto)akipokea bahasha zilizowekwa barakoa kwaajili ya Waandishi waliohudhuria semina ya Waandishi wa Habari katika Ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa Bernard Malaki (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa huo kutoa vifaa vya kujikinga kwa      Waandishi.Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo (waliokaa katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari Mkoa wa Rukwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wahadharishwa kuwa makini

Msemaji wa Polisi, Advera Bulimba JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.

 

9 years ago

StarTV

  Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro

 

Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.

Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.

 Halmashauri ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wanahabari Rukwa watakiwa kuwa makini kujikinga na Corona ili kuendelea kuihabarisha jamii


Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Rukwa Izrael Mwaisaka (Kushoto)akipokea bahasha zilizowekwa barakoa kwaajili ya Waandishi waliohudhuria semina ya Waandishi wa Habari katika Ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa Bernard Malaki (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa huo kutoa vifaa vya kujikinga kwa Waandishi.

Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo (waliokaa katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari Mkoa wa Rukwa...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA MATAPELI

Na Rose Masaka-MAELEZO-Dar es Salaam.
Serikali imewataka  wananchi       kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa Taasisi hizo zimekuwa zikitumia  mitandao ya simu za mkononi kutapeli wananchi kwa kuwaraghai kuwa watawapatia mikopo.
Mwambene ameongeza kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi waaswa kuwa makini na kauli za wanasiasa-IPTL

Katibu na Mshauri Mkuu wa Makapuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP), Bw. Joseph Makandege, (mwenye suti nyeusi kushoto) akimkabidhi Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT Usharika wa Likamba Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, Bi Martha Musa Kivuyo (mwenye nguo nyeupe), mfano wa hundi ya Shilingi milioni 10 kati ya Silingi milioni 20 (Tsh 20m/-) iliyotolewa na kampuni ya IPTL/PAP, kusaidia kwaya ya Patano la Usharika wa Likamba...

 

11 years ago

Michuzi

jeshi la polisi latahadharisha wananchi kuwa makini wakati wa sikukuu ya pasaka

SSP ADVERA SENSO Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao.  Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani