Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yawaonya walevi Sikukuu ya Pasaka

Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kuzitumia sikukuu za kidini kwa ulevi, badala yake wajikite kuimarisha upendo na amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka

Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka ili kulinda maisha ya watu na mali zao dhidi ya wahalifu wanaotumia fursa hiyo kufanya vitendo viovu.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi waimarisha ulinzi sikukuu ya Pasaka

 Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaJESHI la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mwanza, ikiwemo katika Ziwa Victoria pamoja na makanisani wakati wa Sikukuu ya Pasaka, na kuhadharisha wananchi kutoa taarifa watakapopata shaka kuhusu watu, au vitendo vinavyoashiria ugaidi.

 

11 years ago

Michuzi

jeshi la polisi latahadharisha wananchi kuwa makini wakati wa sikukuu ya pasaka

SSP ADVERA SENSO Tunapoelekea kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka, Jeshi la Polisi nchini, linatoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala la usalama wa maisha na mali zao.  Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha kwamba hakuna vitendo vyovyote vya...

 

10 years ago

GPL

MTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA

Waimbaji wa Glorious Worship Team (GWT) wakiwa stejini wakati wa kumsifu Mungu na kumwabudu. Glorious Worship Team wakizidi kumwabudu Mungu katika Ukumbi wa Victoria Petrol Station. Mpiga gitaa la sauti nzito (base) wa GWT, Emmanuel Materu akicharaza gitaa hilo. Pembeni yake ni…

 

10 years ago

Michuzi

HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

LEO NI SIKU KUBWA SANA KWA WAKRISTO WOTE DUNIANI AMBAO WANAUNGANA PAMOJA KATIKA KUMBUKIZI YA KUFUFUKA KWA BWANA YESU KRISTO NA KUPAA MBINGUNI AMBAYO ILIITWA PASAKA. HIVYO GLOBU YA JAMII INAWATAKIA HERI NA FANAKA WADAU WOTE KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL yawakumbuka yatima Sikukuu ya Pasaka

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula kwa vituo vitatu vya watoto yatima wakati wa Sikukuu ya Pasaka. Akikabidhi msaada huo juzi, Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wamiliki wa tovuti hii na wachapishaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Ijumaa na Risasi inawatakia wasomaji wake kila la heri katika kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.

 

11 years ago

Michuzi

WAUMINI WA DHEHEBU YA ORTHODOX WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA.

Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh  akiwa  na waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios  wakati wa   Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios  wakati wa   Ibada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani