Upandishaji Nauli Kipindi Cha Sikukuu SUMATRA Mbeya yatoa tahadhari
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu nchni SUMATRA Mkoa wa Mbeya imewatahadharisha wamiliki wa vyombo vya usafiri kutokupandisha nauli katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho mwa mwaka.
Afisa Mfawidhi wa SUMATRA mkoani Mbeya Denis Daudi amesema mamlaka hiyo haitasita kuwachukulia hatua watoa huduma wakiwemo wamiliki, wafanyakazi na wapiga debe wa vyombo vya usafiri watakaokiuka agizo hilo.
Akizungumza na Star tv, Denis amesema yamejengeka mazoeza ya kila...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Sumatra yatoa ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho-Mnazi Mmoja
Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetolea ufafanuzi wa nauli za daladala kwa njia ya Makumbusho- Mnazi mmoja kupitia Kambarage, Shekilango na Kigogo.
Ifuatayo ni taarifa ya mchanganuo wa nauli za daladala katika maeneo hayo;
Na Emmy Mwaipopo
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
10 years ago
Mwananchi24 Dec
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi yatoa tahadhari Sikukuu Pasaka
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wLBsx3KE8x0/Ux8w3LePDrI/AAAAAAAFS7s/4YUPf-Aheck/s72-c/RPC+MSANGI+KALU+BLOG.jpg)
TATHIMINI YA HALI YA UHALIFU MKOA WA MBEYA KWA KIPINDI CHA FEB- 2014 IKILINGANISHWA NA KIPINDI CHA MWEZI JAN- 2014
![](http://2.bp.blogspot.com/-wLBsx3KE8x0/Ux8w3LePDrI/AAAAAAAFS7s/4YUPf-Aheck/s1600/RPC+MSANGI+KALU+BLOG.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
SUMATRA yatahadharisha wanaosafiri kipindi cha msimu wa siku kuu za mwisho wa mwaka
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam jana juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za Krismas na mwaka mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali kutozwa nauri za juu na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa haraka. Soma taarifa kamili hapa chini. (Source Father Kidevu Blog).
NAURI HALALI ZA MABASI YA MIKOANI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W2KLzLLv-IU/VR034Ef3vtI/AAAAAAAHO8M/9o_P0zdUdlE/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI NCHINI KUELEKEA KIPINDI CHA SIKUKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-W2KLzLLv-IU/VR034Ef3vtI/AAAAAAAHO8M/9o_P0zdUdlE/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Uzoefu unaonyesha kwamba, katika kipindi kama hiki cha sikukuu kuna baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vya uhalifu. Hata hivyo, Jeshi la Polisi katika mikoa yote limejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha ...
10 years ago
Habarileo19 Feb
Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.
10 years ago
Habarileo06 Feb
Sumatra yatafakari kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewataka wananchi na jamii kuwa watulivu na kuendelea kuvuta subira, huku suala la kushuka kwa bei ya mafuta likifanyiwa utafiti ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua ya kushusha nauli za vyombo vya usafiri.