JESHI LA POLISI LIMEJIPANGA KIKAMILIFU KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA WA 2015
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepanga mikakati madhubuti ya kuhakikisha kwamba mkesha kuelekea Mwaka Mpya 2015 unakuwa salama, sherehe za mwaka mpya, kuandamana, baadhi ya watu wachache hasa vijana hupenda kuchoma matairi barabarani, kulipua fataki na vurugu za kila aina kwa lengo la kuonyesha furaha yao ya kuingia mwaka 2015.
Hali kama hiyo haitavumiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu badala ya sherehe hugeuka vitisho, vurugu, na kisha kuwatia hofu wananchi wasiokuwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAWATAHADHARISHA WANANCHI KUHUSU MKESHA WA MWAKA MPYA.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA 31/12/2015TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARIKUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA
Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika...
9 years ago
Michuzi28 Dec
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA
Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vinavyohatarisha usalama wa raia mali zao.
Jeshi la Polisi nchini, limejipanga vizuri katika mikoa yote kwa kushirikiana na vyombo...
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya
10 years ago
Michuzi01 Jan
WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike na wakiume 10 na mapacha moja na kati ya watoto hao 21...
10 years ago
GPLMASHAUZI WAZIDI KUNOGESHA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 DAR LIVE
10 years ago
GPL01 Jan
10 years ago
Michuzi25 Dec
9 years ago
MichuziMKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA