MARUFUKU KULIPUA FATAKI MKESHA WA MWAKA MPYA
![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6QMQc0yfR4ohZZjvvBPH-5QRwbU0NgGIQuOxcDHVL5uEEh2LaxyPmHdPqJHkED4nGZ2QI8zBK3p2-vrSkIJmW5/suleimankova.jpg?width=550)
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku ulipuaji wa fataki wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya, kutokana na sababu za kiusalama. Imeelezwa kwamba zuio hilo, linatokana na sababu za kiusalama na matishio mbalimbali ya kigaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Hayo yameelezwa na Kamisha wa Polisi Kanda, Suleiman Kova wakati...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA
10 years ago
Michuzi01 Jan
WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike na wakiume 10 na mapacha moja na kati ya watoto hao 21...
10 years ago
StarTV30 Dec
Dk. Bilal mgeni rasmi mkesha wa mwaka mpya.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Gharib Bilal anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Mkesha maalum wa mwaka mpya utakaofanyika Desemba 31 Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuliombea Taifa amani na utulivu kwa mwaka ujao wa 2015.
Mkesha huo ulioandaliwa na kamati maalum ya mikesha ya mwaka mpya tayari maandalizi yake yamekamilika ambapo pia utafanyika kwenye mikoa mingine 16 Nchini na wakuu wa mikoa hiyo watakuwa wageni...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_0527.jpg?width=640)
SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA MKESHA WA MWAKA MPYA
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Polisi yatoa tahadhari mkesha wa mwaka mpya
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-n3QOTQUrw3k/VKM5th-I6JI/AAAAAAADTaI/d8805G9heOM/s72-c/10862708_1050205801671873_4435969063454828412_o.jpg)
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Kova kuweka ulinzi mzito mkesha wa mwaka mpya
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova.
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA
Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa hiyo kufanya vitendo vinavyohatarisha usalama wa raia mali zao.
Jeshi la Polisi nchini, limejipanga vizuri katika mikoa yote kwa kushirikiana na vyombo...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
MOROGORO WASHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE MAFURIKO
![](http://www.itv.co.tz/media/image/mvua31.jpg)