Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


12 wauawa kwenye mafuriko Ufaransa

Takriban watu 12 wameaga dunia Kusini mwa Ufaransa baada ya mvua iliyoandamana na upepo mkali kusababisha mafuriko

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Watu 153 wauawa kwenye matukio ya kigaidi jijini Paris, Ufaransa

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Ufaransa imetangaza hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yake baada ya watu takriban 153 kuuawa jana usiku kwenye mashambulio ya mabomu na bunduki kwenye mji mkuu, Paris.

2E6C9FB000000578-3317776-Two_police_officials_said_at_least_11_people_were_killed_in_the_-a-63_1447454685404

Takriban watu 100 waliuwa baada ya watu wenye silaha kuvamia kwenye ukumbi wa Bataclan na kuwashikilia mateka.

Watu wengi walipigwa risasi na kuuawa kwenye baa na migahawa kwenye maeneo mengine matano jijini humo. Washambuliaji wanane wanadaiwa kuwa wameuawa.

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Wakazi wa Paris wameombwa kujifungia majumbani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uvamizi ufaransa, 12 wauawa

Watu waliokuwa wamejifunika nyuso zao wamewau takriban watu 12 katika ofisi za gazeti moja la vibonzo la Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa

Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimeripoti kwamba washukiwa wawili katika mauaji ya Charlie Hebdo wameuawa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 2 wa Ufaransa wauawa CAR

Wanajeshi wawili wa Ufaransa wameuawa katika mapigano na waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 11 wauawa katika shambulio Ufaransa

Watu 11 wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa katika Ofisi ya Gazeti jijini Paris nchini Ufaransa

 

10 years ago

Vijimambo

AKINA KIPANYA WA UFARANSA WAUAWA BAADA YA KUCHAMBULIWA

Shambulio katika kituo kimoja cha magazeti nchini UfaranzaWanaume waliokuwa wamejifunika nyuso wamewaua takriban watu 12 katika ofisi za gazeti moja la vibonzo la Charlie Hebdo mjini Paris Ufaransa.Watu wengine saba wameripotiwa kujeruhiwa vibaya.Gazeti hilo lililo mjini Paris limekuwa likilengwa na wanamgambo wa kiislamu siku za nyuma kiasi cha kutoa vitisho vya mauaji kwa mhariri mkuu wa jarida hilo.Jarida la Charlie Hebdo huangazia maswala mbali mbali kw akutumia vibonzoTukio hilo...

 

9 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA

Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 200 wauawa na mafuriko huko Kashmir

Mafuriko yamewaua zaidi ya watu 200 nchini India na Pakistan .

 

10 years ago

GPL

MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA KWENYE TRENI UFARANSA ATAKA HAKI

Mtu mweusi, Souleymane S. (kushoto) akijiandaa kupanda treni la chini ya ardhi la jijini Paris, Ufaransa. Souleymane S. akisukumwa na mashabiki wa Chelsea ambao…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani