AKINA KIPANYA WA UFARANSA WAUAWA BAADA YA KUCHAMBULIWA
Shambulio katika kituo kimoja cha magazeti nchini UfaranzaWanaume waliokuwa wamejifunika nyuso wamewaua takriban watu 12 katika ofisi za gazeti moja la vibonzo la Charlie Hebdo mjini Paris Ufaransa.Watu wengine saba wameripotiwa kujeruhiwa vibaya.Gazeti hilo lililo mjini Paris limekuwa likilengwa na wanamgambo wa kiislamu siku za nyuma kiasi cha kutoa vitisho vya mauaji kwa mhariri mkuu wa jarida hilo.
Jarida la Charlie Hebdo huangazia maswala mbali mbali kw akutumia vibonzoTukio hilo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Uvamizi ufaransa, 12 wauawa
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
12 wauawa kwenye mafuriko Ufaransa
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Washukiwa wa mauaji Ufaransa wauawa
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Wanajeshi 2 wa Ufaransa wauawa CAR
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Watu 11 wauawa katika shambulio Ufaransa
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Rue-Bichat.jpg?width=650)
WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA
9 years ago
Bongo514 Nov
Watu 153 wauawa kwenye matukio ya kigaidi jijini Paris, Ufaransa
![2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193-300x194.jpg)
Ufaransa imetangaza hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yake baada ya watu takriban 153 kuuawa jana usiku kwenye mashambulio ya mabomu na bunduki kwenye mji mkuu, Paris.
Takriban watu 100 waliuwa baada ya watu wenye silaha kuvamia kwenye ukumbi wa Bataclan na kuwashikilia mateka.
Watu wengi walipigwa risasi na kuuawa kwenye baa na migahawa kwenye maeneo mengine matano jijini humo. Washambuliaji wanane wanadaiwa kuwa wameuawa.
Wakazi wa Paris wameombwa kujifungia majumbani...
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali
![2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2EA5E94000000578-3326708-image-a-1_1448047482182-300x194.jpg)
Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Xa9DhZaStOU/Uzzw435CHOI/AAAAAAAFYF8/nHhPDMGrL_Q/s72-c/1010340_1428974324017236_726585124_n.jpg)