Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 153 wauawa kwenye matukio ya kigaidi jijini Paris, Ufaransa

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Ufaransa imetangaza hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yake baada ya watu takriban 153 kuuawa jana usiku kwenye mashambulio ya mabomu na bunduki kwenye mji mkuu, Paris.

2E6C9FB000000578-3317776-Two_police_officials_said_at_least_11_people_were_killed_in_the_-a-63_1447454685404

Takriban watu 100 waliuwa baada ya watu wenye silaha kuvamia kwenye ukumbi wa Bataclan na kuwashikilia mateka.

Watu wengi walipigwa risasi na kuuawa kwenye baa na migahawa kwenye maeneo mengine matano jijini humo. Washambuliaji wanane wanadaiwa kuwa wameuawa.

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Wakazi wa Paris wameombwa kujifungia majumbani...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA

Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 11 wauawa katika shambulio Ufaransa

Watu 11 wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa katika Ofisi ya Gazeti jijini Paris nchini Ufaransa

 

9 years ago

BBCSwahili

12 wauawa kwenye mafuriko Ufaransa

Takriban watu 12 wameaga dunia Kusini mwa Ufaransa baada ya mvua iliyoandamana na upepo mkali kusababisha mafuriko

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa yakwamisha shambulio la Kigaidi

Waziri wa Mambo ya ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve amesema vyombo vya usalama nchini humo vimefanikiwa kuwakamata watu wane wanaodaiwa kupanga njama za kigaidi

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 20 wauawa kwenye mashambulio Nigeria

Watu zaidi ya 20 wamefariki kwenye mashambulio kadha yanayoshukiwa kutekelezwa na wapiganaji wa Boko Haram katika mji wa Maiduguri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani