Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR

Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MOTO MKUBWA UMEZUKA KWENYE JENGO LILILOPO MTAA WA JAMHURI NA MOSQUE JIJINI DAR

Moto uliozuka mapema leo katika nyumba moja iliyopo kati ya mtaa wa Jamhuri na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa ambazo bado haijaulikana thamani yake na kutokana na mashuhuda waliokuwepo wakati moto huo ukianza kuwaka wanafikiri moto huo huenda umesababishwa na hitilafu ya umeme lakini msemaji kutoka kikosi cha zima moto amesema chanzo kamili cha moto huo bado hakijajulikana.Wasamalia wakiliondosha gari lililokua karibu na jengo hilo.Kikosi cha zimamoto na Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ:MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI/MOSQUE JIJINI DAR

Moto Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba pichani iliopo mtaa wa Jamuhuri na Mosque jijini Dar es salaam na kuteketeza  mali kadhaa. Kikosi Kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio kwa sasa kikiendelea kukusanya kila kinachojiri,lakini kwa taarifa kutoka kwa mashuhuda waliopo eneo la tukio wanaeleza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika rasmi,Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto nayo yakiendelea...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA KITUO CHA TANESCO KURASINI, DAR

HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA BWENI LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR

Wanafunzi wakijaribu kuokoa baadhi ya mali kutoka katika bweni la Block B kwenye hosteli ya Mabibo, Dar. Moto ukizidi kuunguza bweni hilo. Moto mkali ukifuka kutoka katika bweni la Block B linaloendelea kuungua hivi sasa.…

 

10 years ago

GPL

MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI JIJINI JAR

Moshi mkubwa ukiwa umetanda katika paa la jengo hilo lililopo katika mtaa wa Jamhuri jijini Dar.

 

10 years ago

Habarileo

Moto waunguza hosteli ya Mabibo UDSM

Jengo la hosteli ya wanafunzi wa UDSM likiungua(Na Mpigapicha Wetu)MOTO mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, jana uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi waishio jirani na eneo hilo.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAUNGUZA GODORO, UKUTA KWA BELA

Stori: Waandishi wetu/Risasi Mchanganyiko NYOTA wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda ambaye ni maarufu kama Bela, hivi karibuni alijikuta katika majonzi baada ya kijana wake wa kiume kuwasha moto na kuunguza godoro na ukuta wa sehemu ya nyumba aliyopanga. Godoro la Nyota wa filamu na muziki nchini, Isabela Mpanda likiwa limeteketea kwa moto. Risasi Mchanganyiko lilimkuta msanii huyo akiwa amejiinamia nyumbani kwake muda...

 

10 years ago

GPL

JENGO LA EKAMASUITES LODGE YA KIJITONYAMA DAR LATEKETEA KWA MOTO

Jengo la nyumba ya wageni ijulikanayo kama Ekamasuites Lodge iliyopo kijitonyama jijini Dar, linavyoteketea kwa moto.…

 

9 years ago

Global Publishers

Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto

BREAKINGNEWS3Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.

Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani