Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO MKUBWA UMEZUKA KWENYE JENGO LILILOPO MTAA WA JAMHURI NA MOSQUE JIJINI DAR

Moto uliozuka mapema leo katika nyumba moja iliyopo kati ya mtaa wa Jamhuri na Mosque jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa ambazo bado haijaulikana thamani yake na kutokana na mashuhuda waliokuwepo wakati moto huo ukianza kuwaka wanafikiri moto huo huenda umesababishwa na hitilafu ya umeme lakini msemaji kutoka kikosi cha zima moto amesema chanzo kamili cha moto huo bado hakijajulikana.Wasamalia wakiliondosha gari lililokua karibu na jengo hilo.Kikosi cha zimamoto na Jeshi la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ:MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI/MOSQUE JIJINI DAR

Moto Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba pichani iliopo mtaa wa Jamuhuri na Mosque jijini Dar es salaam na kuteketeza  mali kadhaa. Kikosi Kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio kwa sasa kikiendelea kukusanya kila kinachojiri,lakini kwa taarifa kutoka kwa mashuhuda waliopo eneo la tukio wanaeleza kuwa chanzo cha moto huo bado hakijafahamika rasmi,Jeshi la Polisi limefika eneo la tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto nayo yakiendelea...

 

10 years ago

GPL

MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA JAMUHURI JIJINI JAR

Moshi mkubwa ukiwa umetanda katika paa la jengo hilo lililopo katika mtaa wa Jamhuri jijini Dar.

 

11 years ago

GPL

MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR

Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la…

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA UCHAGUZI (NEC), LILILOPO NDEJENGWA, JIJINI DODOMA.





Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, wakati alipoenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, linalojengwa na Kikosi cha SUMA JKT, May 5, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), lililopo...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZZ: MOJA YA JENGO LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR LASHIKA MOTO

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo.Hakuna anaeamini anachokiona,kwani imekuwa ni tukio la ghafla sana.Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye Jengo hilo wakiwa nje,huku wakiwa hawajui la kufanya wakati moto huo ukiendelea kuwaka.Moshi...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: MOTO WATEKETEZA JENGO MOJA MTAA WA LIVINGSTONE NA NARUNG'OMBE, KARIAKOO HIVI SASA

Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar es salaam muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Globu ya Jamii inafuatilia tukio hilo taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani