MSOMI CHUO KIKUU AUAWA KISA CHIPS
Shani Ramadhani
RIP! Kijana aliyefahamika kwa jina la Shelitiael Steven Mbise, aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na muuza chipsi kufuatia kutofautiana.
Kwa mujibu wa chanzo kutoka Dodoma, denti huyo alikuwa akichukua masters akiwa kwenye mwaka wake wa kwanza.
“Marehemu alikuwa amepanga chumba nje ya chuo, Mtaa wa Chako ni Chako lakini kipindi hiki chuo kimefungwa alikuwa hapa na mara nyingi alikuwa akionekana yuko bize na masomo kwani alikuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMSOMI CHUO KIKUU AUAWA
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!
Marehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.
Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara
VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye...
10 years ago
GPLCHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Vijimambo: Nanenepa Kimasogange Masogange,Kisa Chips za Mpemba-Nisha
Mwingizaji wa filamu mwenye vituko, Salma Jabu ‘Nisha’ alibandika picha yake matandaoni ikimuonyesha jinsi alivyo mnono kwa sasa na kuandika haya;
"Dah mbona km sijielewi au sio mm??? Ok nimekumbuka chips za mpemba zinafanya kazi dah!!!sa mbona nanenepa kimasogangee masogange mhhhh si kwa kibuno hiko loool.. niacheni nijiambie mwnyw maana mtakua hamnambii."
Usikose filamu mpya ya mkali huyu, inayokwenda kwajina la SHIDA amabayo siku ya kesho inaingia sokoni.
10 years ago
VijimamboMAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
10 years ago
GPLAUAWA KWA GONGO KISA WIMBO WA CHRISTIAN BELA
9 years ago
VijimamboCHUO KIKUU DODOMA KUMUENZI JK
9 years ago
GPLULINZI CHUO KIKUU MMH!