Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUO KIKUU DODOMA KUMUENZI JK

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idris Kikula akimkabidhi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi nakala ya kitambu kinachoelezea kwa kina historia ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Katika Maelezo yake, Prof. Kikula amesema UDOM imeamua kuweka katika maandishi historia nzima ya Chuo hili ili kuepusha upotoshaji na upindishaji wa ukweli na kwamba UDOM inapanga kumuenzi Mhe. Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni kutambua mchango wake katika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu Dodoma kumuenzi Rais Kikwete

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinatarajiwa kufanya hafla ya aina yake ya kumuenzi Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Michuzi

CHUO KIKUKU DODOMA KUMUENZI RAIS KIKWETE

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idris Kikula akimkabidhi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Tuvako Manongi nakala ya kitambu kinachoelezea kwa kina historia ya Chuo Kikuu cha Dodoma.  Katika Maelezo yake,  Prof. Kikula amesema UDOM  imeamua kuweka katika maandishi historia nzima ya  Chuo hili ili kuepusha upotoshaji na upindishaji wa  ukweli na kwamba UDOM  inapanga kumuenzi Mhe. Rais Jakaya Kikwete  ikiwa ni kutambua mchango wake katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA


Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's  Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dodoma, Dickson Chilongani (kushoto), akikabidhiwa na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred, mfano wa hundi na bahasha mara baada ya hotuba. Hundi hiyo ina thamani ya hundi ya sh. milioni 10 ukiwa ni msaada wa benki hiyo kwa Chuo Kikuu cha St. John's...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yakabidhi vifaa vya hospitali chuo kikuu cha Dodoma

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya hospitali kwaajili ya zahanati ya chuo kikuu cha Dodoma vyenye thamani ya Shilingi milioni 20.
Vifaa hivyo vilivyotolewa kwa Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dodoma – Prof Shaaban Mlacha ni pamoja na - Jokofu kwaajili ya benki ya Damu, Meza ya upasuaji (Operating Table), Taa maalumu za kwenye chumba cha upasuaji (Overhead Operating Lamp) vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 20.
Msaada huo ulipokelewa vyema na uongozi wa chuo kikuu cha Dodoma...

 

11 years ago

Michuzi

BONANZA LA CHUO KIKUU DODOMA LAFAFANA SANA,PPF YATOA UDHAMINI

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM,Prof.Idrissa Kitila mwishoni mwa wiki alifunga BONANZA la michezo mbalimbali iliyofanyika chuoni hapo kwa muda wa wiki moja.Michezo hiyo ilifadhiliwa na mfuko wa mafao ya Jamii PPF ambapo ilikutanisha timu mbali mbali katika mpira wa pete na mguu.
Timu zilizoshiriki zilikuwa nane,timu kutoka School saba na timu kutoka Utawala moja.Pamoja na mpira wa Pete na Miguu kulikuwepo mashindano ya kuvuta kamba na kukimbiza kuku,Katika siku ya kufunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani