Twiga Stars fungu la kukosa
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imetupwa nje ya Michezo ya Afrika baada ya kupoteza mechi mbili kati ya tatu za raundi ya kwanza. Twiga Stars ilianza michezo hiyo kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ivory Coast mwishoni mwa wiki iliyopita kabla ya juzi kuchapwa mabao 3-0 na Nigeria.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Dec
Kili Stars fungu la kukosa
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imetolewa kwenye michuano ya Chalenji kwa penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Ethiopia katika mchezo wa robo fainali uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa Addis Ababa nchini Ethiopia. Timu hizo zilifikia hatua ya kupiga penalti baada ya kucheza dakika 90 na kutoka sare ya bao 1-1.
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Twiga Stars kibaruani
11 years ago
TheCitizen14 Feb
Twiga Stars out to down Zambians
11 years ago
Mwananchi01 Mar
Twiga Stars yatolewa
10 years ago
Habarileo08 Aug
Twiga Stars yaenda Zanzibar
TIMU ya taifa ya soka ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imeondoka jana kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na fainali za michezo ya Matifa Afrika ‘All African Games’ zinatarajiwa kufanyika Congo Brazzaville Septemba mwaka huu.
10 years ago
MichuziTWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR
Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Twiga Stars kuikabili She-polopolo
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Twiga Stars yafungwa Zambia
TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, juzi ilianza vibaya kampeni ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika (AWC), baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Zambia ‘Shepolopolo’...