Twiga Stars yatolewa
Ndoto ya Tanzania kucheza fainali za Afrika za wanawake mwaka huu zimefutika baada ya Twiga Stars kulazimishwa sare 1-1 na Zambia na hivyo kuondolewa kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 jana kwenye Uwanja Azam Complex.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen14 Feb
Twiga Stars out to down Zambians
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Twiga Stars kibaruani
9 years ago
Habarileo03 Sep
Twiga Stars yaenda Congo
HATIMAYE timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars, inatarajia kuondoka leo jioni kwa ndege maalum kwenda Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika ( All African Games).
9 years ago
Habarileo11 Sep
Twiga Stars fungu la kukosa
TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imetupwa nje ya Michezo ya Afrika baada ya kupoteza mechi mbili kati ya tatu za raundi ya kwanza. Twiga Stars ilianza michezo hiyo kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ivory Coast mwishoni mwa wiki iliyopita kabla ya juzi kuchapwa mabao 3-0 na Nigeria.
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Twiga Stars kuivaa Zambia
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Twiga Stars kuikabili She-polopolo
10 years ago
Habarileo08 Aug
Twiga Stars yaenda Zanzibar
TIMU ya taifa ya soka ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imeondoka jana kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na fainali za michezo ya Matifa Afrika ‘All African Games’ zinatarajiwa kufanyika Congo Brazzaville Septemba mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Twiga Stars kucheza Chamazi
9 years ago
Habarileo02 Sep
Twiga Stars giza nene
TIMU ya taifa soka ya taifa ya wanawake Twiga Stars jana ilishindwa kwenda Congo Brazzaville, kushiriki Michezo ya Mataifa ya Afrika kwa sababu ya ukata, imeelezwa.