Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twiga Stars kibaruani

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Twiga Stars inalazimika kucheza kufa na kupona leo ili kuhakikisha inapata ushindi dhidi ya Nigeria na kufufua matumaini ya kusonga mbele katika mashindano ya Afrika yanayoendelea Congo Brazzaville.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kibaruani

>Taifa Stars inashuka uwanjani leo kukabiliana na Burundi katika pambano la kimataifa ya kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa(Fifa) litakalofanyika jijini Bujumbura.

 

11 years ago

TheCitizen

Twiga Stars out to down Zambians

>The national women’s soccer team, Twiga Stars, will be seeking a flying start when they take on Zambia’s Shepolopolo in the 2014 Africa Championship preliminary round, first leg qualifier at Nkoloma Stadium.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yatolewa

Ndoto ya Tanzania kucheza fainali za Afrika za wanawake mwaka huu zimefutika baada ya Twiga Stars kulazimishwa sare 1-1 na Zambia na hivyo kuondolewa kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 jana kwenye Uwanja Azam Complex.

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars yakamilisha ratiba

TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, leo inacheza mechi ya mwisho dhidi ya wenyeji Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuikabili She-polopolo

Twiga Stars,itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwakarisbisha timu ya taifa Zambia 'The She-Polopolo'.

 

10 years ago

Michuzi

TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR

Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars).

Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars inawezekana Dar

NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama kawaida lengo likiwa ni lile lile, kupeana changamoto za kispoti ili kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Bila...

 

10 years ago

Habarileo

Twiga Stars yaenda Zanzibar

TIMU ya taifa ya soka ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imeondoka jana kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na fainali za michezo ya Matifa Afrika ‘All African Games’ zinatarajiwa kufanyika Congo Brazzaville Septemba mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars yaenda Congo

HATIMAYE timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Twiga Stars, inatarajia kuondoka leo jioni kwa ndege maalum kwenda Congo Brazzaville kwenye Michezo ya Afrika ( All African Games).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani