Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Busungu, Mandawa hao wakaribia Simba

simbaNa Judith Peter, Dar es Salaam
WASHAMBULIAJI wawili, Rashid Mandawa na Malimi Busungu, wanakaribia kutua ndani ya timu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mandawa (Kagera Sugar) na Busungu (Mgambo JKT) ni moja ya washambuliaji wazawa waliofanya vizuri ligi kuu msimu uliopita, Mandawa akicheka na nyavu mara 10, huku straika mwenzake huyo akifunga nane.
Chanzo cha ndani ya Simba kililipasha MTANZANIA jana kuwa mazungumzo yao na wawili hao yamefikia sehemu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TheCitizen

Busungu the hero as Yanga spank Simba

Young Africans fans breathed a sigh of relief after Amissi Tambwe and substitute Malimi Busungu struck to hand the Vodacom Premier League reigning champions a 2-0 win over arch-rivals Simba SC, at the National Stadium yesterday.

 

11 years ago

GPL

Kaseja: Waleteni hao Simba SC

Kipa mpya wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA mpya wa Yanga, Juma Kaseja, amesema yupo tayari muda na wakati wowote kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani, Simba. Kaseja ametoa kauli hiyo juzi Jumamosi mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM ya Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Mtani Jembe itakayowakutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumamosi ijayo....

 

9 years ago

Habarileo

Julio: Simba, Yanga Azam hao ndio nani?

TIMU ya Mwadui FC imesema haiziogopi timu za Azam, Simba wala Yanga kwani imejipanga kuhakikisha inapambana nazo kuondoka na ushindi.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUTUBIA- MANDAWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimtambulishasha diwani wa kata ya Mandawa kwa tiketi ya CUF, Said Abdallah `Nachinga na kuahidi kuwa atashirikiana nae kwa karibu katika kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wa kata hiyo bila kujali tofauti za vyama. Alikuwa ktika mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Mandawa Desemba 22, 2015.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mandawa wilayani Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo desemba 22, 2015. (Picha...

 

11 years ago

Michuzi

IN LOVING MEMORY OF MZEE JAMES GERALD MANDAWA

IT SEEMS LIKE YESTERDAY THOUGH IT IS TWELVE MONTHS SINCE OUR LORD TOOK YOU HOME, OUR LOVELY DAD, THE FACT THAT YOU ARE NO LONGER HERE WILL ALWAYS CAUSE US PAIN, HOWEVER WE TAKE REFUGE IN THE LOVE THAT BOUND US FOREVER.
OUR HEARTS ARE FULL OF FOND MEMORIES; YOU GAVE US SO MUCH TO REMEMBER.
WE REMEMBER ALL THE SUPPORT AND GUIDANCE YOU PROVIDED THAT HAS BUILT A SOLID FOUNDATION IN OUR LIVES AND HAS MADE US WHAT WE ARE TODAY. 
WE CHERISH THE GOOD TIMES WE HAVE HAD TOGETHER AND THE LOVE THAT...

 

10 years ago

GPL

Busungu asaini Yanga

Malimi Busungu akisaini mkataba na timu ya Yanga.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
YANGA haitaki masihara hata kidogo linapokuja suala la kukiongezea nguvu kikosi chake! Licha ya vijana hao wa Jangwani kuongoza kwa kufunga mabao 52 katika michezo 26 ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, imeamua kumuongeza mchana nyavu mwingine, anaitwa Malimi Busungu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili akitokea Mgambo JKT. Yanga imeizidi nguvu...

 

10 years ago

GPL

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAMTUNZA MANDAWA‏

Naibu Waziri wa maji Amos Makala wapili toka kulia akimkabidhi mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara  mwezi Novemba Rashid Mandawa wa Kagera Sugar(wapili toka kushoto) hundi yenye thamani ya  Sh. Milioni 1/=na kombe kabla ya mechi kuanza kati ya Simba na Kagera Sugar ambapo simba ililala kwa bao 1-0. Wengine kulia ni Makamu Mwenyekiti wa bodi ya ligi Said Mohamed. Kushoto Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mradi wa Suez wakaribia kufunguliwa

Njia ya pili ya Mfereji wa Suez itakuwa tayari Agosti - mradi kipenzi wa Rais al-Sisi

 

9 years ago

Habarileo

Maguri, Busungu waitwa Stars

WASHAMBULIAJI Elias Maguri wa Stand United ya Shinyanga na Malimi Busungu wa Yanga, wameongezwa katika kikosi cha timu ya soka ya Taifa ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini Oman kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani