Mradi wa Suez wakaribia kufunguliwa
Njia ya pili ya Mfereji wa Suez itakuwa tayari Agosti - mradi kipenzi wa Rais al-Sisi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Nov
Mradi Ruvu Chini wakaribia kumalizika
MAMLAKA ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea kuboresha na kuimarisha miundombinu ya maji ili kuwanufaisha wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ili kuwa na uhakika wa kupata maji kwa mahitaji yao ya kila siku.
11 years ago
Habarileo04 Jul
Mwafaka Rwanda, DRC wakaribia
MGOGORO wa kidiplomasia kati ya nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda, unaelekea ukingoni baada ya kikundi cha wapiganaji cha FDLR kukubali kuweka silaha chini kwa hiyari yao. Kikundi hicho kilipeleka barua rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Pili wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliomalizika juzi Luanda nchini Angola, kuelezea nia yao ya kuweka silaha chini.
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
IS wakaribia kuteka mji muhimu Syria
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
‘Wananchi Ubumu wakaribia kutua mzigo’
WANANCHI wa Kata ya Ibumu, Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa wamesema wanakaribia kutua mzigo na kupunguza uchovu walionao unaosababishwa na utawala dhalimu wa kiimla waliokuwa wakitawaliwa katani humo. Wananchi hao...
10 years ago
Mtanzania18 May
Busungu, Mandawa hao wakaribia Simba
Na Judith Peter, Dar es Salaam
WASHAMBULIAJI wawili, Rashid Mandawa na Malimi Busungu, wanakaribia kutua ndani ya timu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mandawa (Kagera Sugar) na Busungu (Mgambo JKT) ni moja ya washambuliaji wazawa waliofanya vizuri ligi kuu msimu uliopita, Mandawa akicheka na nyavu mara 10, huku straika mwenzake huyo akifunga nane.
Chanzo cha ndani ya Simba kililipasha MTANZANIA jana kuwa mazungumzo yao na wawili hao yamefikia sehemu...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Timu ya Rainer Zietlow wakaribia kuvunja rekodi ya dunia
Dereva kutoka nchini Ujerumani Rainer Zietlow (katikati) akizungumza na wanahabari kuhusiana na rekodi yake ya kusafiri umbali mrefu Duniani mara baada ya kuwasili nchini Tanzania kwenye Ofisi za Alliance Autos, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh na kushoto ni Meneja Masoko wa CFAO Motors, Tharaia Ahmed.
Na Mwandishi Wetu
DEREVA raia wa Ujerumani Rainer Zietlof yuko mbioni kuvunja rekodi ya dunia ya kuendesha gari kwa kilometa 17,000 kutoka Ulaya...
11 years ago
Mwananchi09 May
Wanasayansi wakaribia kupata dawa itakayozuia mtu kuzeeka
10 years ago
BBC25 Jul
Trial run for second Suez Canal
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/A5C4/production/_84563424_84563417.jpg)
VIDEO: On the banks of the new Suez Canal