Mwafaka Rwanda, DRC wakaribia
MGOGORO wa kidiplomasia kati ya nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda, unaelekea ukingoni baada ya kikundi cha wapiganaji cha FDLR kukubali kuweka silaha chini kwa hiyari yao. Kikundi hicho kilipeleka barua rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Pili wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliomalizika juzi Luanda nchini Angola, kuelezea nia yao ya kuweka silaha chini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Majeshi ya DRC na Rwanda yakabiliana
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
DRC na Rwanda zapigana kwa siku ya 2
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuingia DRC
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
DRC yailaumu Rwanda kuwalinda M23
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Jumuia yatoa ripoti kuhusu DRC na Rwanda
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Rais wa Rwanda Paul Kagame avishutumu vikosi vya Burundi kushambulia DRC
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Mradi wa Suez wakaribia kufunguliwa
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
‘Wananchi Ubumu wakaribia kutua mzigo’
WANANCHI wa Kata ya Ibumu, Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa wamesema wanakaribia kutua mzigo na kupunguza uchovu walionao unaosababishwa na utawala dhalimu wa kiimla waliokuwa wakitawaliwa katani humo. Wananchi hao...
10 years ago
Mtanzania18 May
Busungu, Mandawa hao wakaribia Simba
Na Judith Peter, Dar es Salaam
WASHAMBULIAJI wawili, Rashid Mandawa na Malimi Busungu, wanakaribia kutua ndani ya timu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mandawa (Kagera Sugar) na Busungu (Mgambo JKT) ni moja ya washambuliaji wazawa waliofanya vizuri ligi kuu msimu uliopita, Mandawa akicheka na nyavu mara 10, huku straika mwenzake huyo akifunga nane.
Chanzo cha ndani ya Simba kililipasha MTANZANIA jana kuwa mazungumzo yao na wawili hao yamefikia sehemu...