Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUNGAJI MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI, AACHIWA KWA DHAMANA NI KUTOKANA NA KESI YA KUJERIHI

Na Francis Godwin, Iringa  MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Iringa akituhumiwa kwa kosa la kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nduli. Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, Godfrey Isaya, Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elizabeth Swai alisema Mchungaji Msigwa alitenda kosa hilo Febrauri 5, 2014 katika kijiji cha Nduli, mjini Iringa.  Alisema Mchungaji Msigwa anashitakiwa kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MWAKALEBELA AKANUSHA KUFUTWA KWA KESI YAKE DHIDI YA MCHUNGAJI PETTER MSIGWA NA MKURUGEZI WA MANISPAA YA IRINGA

Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini kimekanusha kufutwa kwa kesi yao dhidi ya Mkurungenzi wa manispaa ya Iringa  pamoja na mbunge wa jimbo la iringa mjini mchungaji  Peter Msigwa.
Katibu wa CCM  wilaya ya Iringa mjini ELISHA MWAMPASHE amesema kuwa taarifa zilizosambaa sehemu mbalimbali sio za kweli.“Nimekuwa nikipigiwa simu nyingi toka jana nikipewa taarifa kuwa kesi yetu imetupiliwa mbali na imeenea sana kwenye mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali ukweli ni kwamba kesi ya...

 

9 years ago

GPL

MASHA AACHIWA KWA DHAMANA

Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa. Baada ya jana kulala mahabusu ya segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar

Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.

 

11 years ago

Mwananchi

Kibonde aachiwa kwa dhamana Oysterbay

Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha ya matusi kwa askari wa usalama barabarani.

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima atoka hospitali, aachiwa kwa dhamana

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa na baadaye kuachiwa na polisi kwa dhamana isiyokuwa na masharti.

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA AACHIWA KWA DHAMANA DODOMA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja, (mwenye koti la kahawia), akisindikizwa na mawakili na wafanyabiashara wenzake. MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja ameachiwa kwa dhamana leo jijini Dodoma baada ya kushikiliwa kwa siku sita kufuatia kuondolewa dhamana ya awali kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana. Minja ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

RICK ROSS AACHIWA KWA DHAMANA YA DOLA MILIONI MBILI

Rapa maarufu duniani anayetokea nchi ya Marekani, Rick Ross. Rick Ross alipokuwa gerezani. MWANAMUZIKI Rick Ross wa Marekani ameachiwa huru baada ya kuweka dhamana ya dola milioni mbili kutokana na kutiwa mbaroni Juni 24 mwaka huu kwa tuhuma za kumteka nyara na kumshambulia mlinzi wake na kumtishia kwa bastola. Rapa huyo pia ameweka dhamana jumba lake lilikoko Fayette, Jimbo la Georgia, ambalo lilikuwa likimilikiwa na bondia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msigwa kortini, Kasulumbayi nje kwa dhamana

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa tuhuma za kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Nduli. Mbele...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani