Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msigwa kortini, Kasulumbayi nje kwa dhamana

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa tuhuma za kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Nduli. Mbele...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MCHUNGAJI MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI, AACHIWA KWA DHAMANA NI KUTOKANA NA KESI YA KUJERIHI

Na Francis Godwin, Iringa  MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Iringa akituhumiwa kwa kosa la kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nduli. Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, Godfrey Isaya, Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elizabeth Swai alisema Mchungaji Msigwa alitenda kosa hilo Febrauri 5, 2014 katika kijiji cha Nduli, mjini Iringa.  Alisema Mchungaji Msigwa anashitakiwa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Msigwa, wenzake kortini kwa kujeruhi polisi

MGOMBEA Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Iringa wakituhumiwa kushambulia na kujeruhi askari polisi wawili.

 

10 years ago

Habarileo

Mwakalebela apinga ushindi wa Msigwa kortini

ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela, amekwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwakalebela atinga kortini kumpinga Msigwa

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CCM), Frederick Mwakalebela amefungua kesi kupinga ushindi wa Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kasulumbayi: Katiba itambue maeneo ya wafugaji

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Sylvester Kasulumbayi, amesema ni vema wafugaji wakatambuliwa kikatiba na maeneo yao yakatambuliwa kisheria. Kasulumbayi alitoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mada mbalimbali katika mkutano wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SYLVESTER KASULUMBAYI: Mifugo si kero, ni utajiri

“ILI taifa liweze kuwa na uchumi uliosimama na maendeleo ya kweli ni lazima utawala uliopo madarakani uhakikishe unawapatia wananchi elimu kulingana na kile wanachokizalisha. Hiyo ni kauli ya Mbunge wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali 10 kwa mbunge wangu:Peter Msigwa

Ukosefu wa uelewa wa sheria umekuwa changamoto kubwa  kwa wananchi  wa Jimbo la Iringa Mjini, je, kwa nafasi yako ya ubunge umewasaidiaje wananchi katika kuwajengea uwezo kisheria?

 

9 years ago

Mwananchi

Hasanoo huru kwa dhamana

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani