Mwakalebela atinga kortini kumpinga Msigwa
Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CCM), Frederick Mwakalebela amefungua kesi kupinga ushindi wa Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Nov
Mwakalebela apinga ushindi wa Msigwa kortini
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela, amekwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa.
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Msigwa, Mwakalebela wakabana koo Iringa
KAMA ilivyo kwa Mbeya Mjini, Jimbo la Iringa Mjini nako ni mapambano kati ya Mgombea wa CCM, Davi
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mwakalebela: Siku za Msigwa zinahesabika Iringa
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Peter Msigwa: Nini Mwakalebela, hata Kinana aje atakimbia tu hapa
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EG2I4ZmpqYM/VlK_qXWZqHI/AAAAAAAIH34/lzbjZkcQO9s/s72-c/IMG_20151120_115511.jpg)
MWAKALEBELA AKANUSHA KUFUTWA KWA KESI YAKE DHIDI YA MCHUNGAJI PETTER MSIGWA NA MKURUGEZI WA MANISPAA YA IRINGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-EG2I4ZmpqYM/VlK_qXWZqHI/AAAAAAAIH34/lzbjZkcQO9s/s640/IMG_20151120_115511.jpg)
Katibu wa CCM wilaya ya Iringa mjini ELISHA MWAMPASHE amesema kuwa taarifa zilizosambaa sehemu mbalimbali sio za kweli.“Nimekuwa nikipigiwa simu nyingi toka jana nikipewa taarifa kuwa kesi yetu imetupiliwa mbali na imeenea sana kwenye mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali ukweli ni kwamba kesi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://lh3.googleusercontent.com/--O1XrdLsLjc/VfBpdvRhX6I/AAAAAAACAfU/dBXrfoauy3c/s72-c/blogger-image--456367688.jpg)
ACT WAZALENDO WASEMA MCHUANO IRINGA NI CHIKU ,MWAKALEBELA NA MASASI ,MCHUNGAJI MSIGWA ASICHAGULIWE KASHINDWA KAZI
![](http://lh3.googleusercontent.com/--O1XrdLsLjc/VfBpdvRhX6I/AAAAAAACAfU/dBXrfoauy3c/s640/blogger-image--456367688.jpg)
Katibu Wilaya wa ACT wazalendo Wilaya ya Iringa Bw Zhenepa Ally leo wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Iringa mjini Chiku Abwao ( ACT wazalendo) kwenye kata ya Kitwiru .
Alisema...
9 years ago
Habarileo08 Oct
Msigwa, wenzake kortini kwa kujeruhi polisi
MGOMBEA Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Iringa wakituhumiwa kushambulia na kujeruhi askari polisi wawili.
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Msigwa kortini, Kasulumbayi nje kwa dhamana
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa tuhuma za kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Nduli. Mbele...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
Mtikila atinga kortini kupinga Mahakama ya Kadhi.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mtikila-17March2015.jpg)
Mtikila anapinga kuanzishwa Mahakama ya Kadhi, kwamba ni kinyume cha Katiba ya nchi.
Kadhalika, Mtikila ameiomba mahakama itoe amri kwamba wale walio kwenye mamlaka ya Serikali akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda;...