Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Peter Msigwa: Nini Mwakalebela, hata Kinana aje atakimbia tu hapa

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kutaja siri ya chama hicho kupoteza majimbo mbalimbali, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema chama hicho kisahau kuchukua jimbo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwakalebela apinga ushindi wa Msigwa kortini

ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Frederick Mwakalebela, amekwenda mahakamani kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mwakalebela atinga kortini kumpinga Msigwa

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CCM), Frederick Mwakalebela amefungua kesi kupinga ushindi wa Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakalebela: Siku za Msigwa zinahesabika Iringa

Jimbo la Iringa Mjini ni miongoni mwa majimbo ya uchaguzi yanayoongozwa na wabunge kutoka vyama vya upinzani nchini.

 

9 years ago

Raia Mwema

Msigwa, Mwakalebela wakabana koo Iringa

KAMA ilivyo kwa Mbeya Mjini, Jimbo la Iringa Mjini nako ni mapambano kati ya Mgombea wa CCM, Davi

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Michuzi

MWAKALEBELA AKANUSHA KUFUTWA KWA KESI YAKE DHIDI YA MCHUNGAJI PETTER MSIGWA NA MKURUGEZI WA MANISPAA YA IRINGA

Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini kimekanusha kufutwa kwa kesi yao dhidi ya Mkurungenzi wa manispaa ya Iringa  pamoja na mbunge wa jimbo la iringa mjini mchungaji  Peter Msigwa.
Katibu wa CCM  wilaya ya Iringa mjini ELISHA MWAMPASHE amesema kuwa taarifa zilizosambaa sehemu mbalimbali sio za kweli.“Nimekuwa nikipigiwa simu nyingi toka jana nikipewa taarifa kuwa kesi yetu imetupiliwa mbali na imeenea sana kwenye mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali ukweli ni kwamba kesi ya...

 

9 years ago

Michuzi

ACT WAZALENDO WASEMA MCHUANO IRINGA NI CHIKU ,MWAKALEBELA NA MASASI ,MCHUNGAJI MSIGWA ASICHAGULIWE KASHINDWA KAZI

Na MatukiodaimablogCHAMA Cha ACT wazalendo kimewataka wananchi wa jimbo la Iringa Mjini kuwapima wagombea watatu waliojitokeza kuomba kuchaguliwa kupokea  nafasi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema)kwa madai kuwa hapaswi tena kupewa kura katika jimbo hilo.
Katibu Wilaya  wa ACT wazalendo Wilaya ya  Iringa Bw Zhenepa Ally leo wakati wa mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Iringa mjini Chiku Abwao ( ACT wazalendo) kwenye kata ya Kitwiru .
Alisema...

 

9 years ago

GPL

PETER MSIGWA NA WENZAKE 61 WASWEKWA RUMANDE

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi. Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa. KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi, amesema Jeshi hilo linamshikila aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake 61 kwa tuhuma za kufunga barabara ya Kihesa mjini Iringa. Akizungumza kwenye kikao cha dharura na waandishi wa habari kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda ammwagia sifa Peter Msigwa

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemwagia sifa mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akisema amekuwa kiongozi wa kwanza kuchangia vitanda 30 katika Hospitali ya Frelimo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa.

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani