Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hasanoo huru kwa dhamana

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKATI MBASHA AKIWA HURU KWA DHAMANA, GWAJIMA APASUA JIPU!

Stori: Haruni Sanchawa na Richard Bukos WAKATI mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo, Risasi Jumamosi limesheheni mkobani. Mbasha akiwa na Pingu. Mbasha aliachiwa kwa dhamana juzi akitokea Gereza la...

 

10 years ago

CloudsFM

NASSARI AACHIWA HURU KWA DHAMANA NA MAHAKAMA,BAADA YA KUTUHUMIWA KUCHOMA BENDERA YA CCM

Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya maji ya chai ameahirisha hadi Decemba 24, shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nassari (CHADEMA), kwa tuhuma za kuharibu mali ya uma kwa kuichoma yenye dhamani ya shilingi laki mbili (bendera ya CCM),pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya december 15 mwaka huu
mahakama hiyo imemuachia mbunge huyo mara baada ya kutimiza mashariti ya dhamana, ambapo shariti la kwanza ni kuwa...

 

9 years ago

GPL

MASHA AACHIWA KWA DHAMANA

Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa. Baada ya jana kulala mahabusu ya segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Khalida Zia aachiliwa kwa dhamana

Mahakama inayoshughulikia ufisadi nchini Bangladesh imemuachilia kwa dhamana kiongozi mkuu wa upinzani Khaleda Zia.

 

10 years ago

GPL

WAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA

WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi. Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Muhubiri wa Kenya aachiliwa kwa dhamana

Muhubiri mwenye utata James Ng'ang'a ameachiliwa kwa dhama ya 500,000.

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar

Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.

 

10 years ago

Habarileo

Wapinga dhamana kwa washitakiwa wa ubakaji

WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kupitia mradi wa Gewe, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji. Akizungumza na gazeti hili wakati wa tathmini ya mradi huo, mwanaharakati Fatma Issa kutoka kijiji cha Dole Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, alisema kesi nyingi za ubakaji watuhumiwa wake wanaachiwa huru baada ya kukosekana kwa ushahidi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanachama wa Chadema waachiwa kwa dhamana

Wanachama watano wa Chadema pamoja na watu wengine watatu wasio raia wa Tanzania wanaokabiliwa na mashtaka ya makosa ya uhalifu wa kimtandao, wameachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani