Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKATI MBASHA AKIWA HURU KWA DHAMANA, GWAJIMA APASUA JIPU!

Stori: Haruni Sanchawa na Richard Bukos WAKATI mume wa mwimba Injili Bongo,  Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima ameibuka na kunena mazito kuhusiana na sakata hilo, Risasi Jumamosi limesheheni mkobani. Mbasha akiwa na Pingu. Mbasha aliachiwa kwa dhamana juzi akitokea Gereza la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ruge apasua jipu

Mkurugenzi wa Kituo cha Vipaji Tanzania (THT), Ruge Mutahaba amesema taasisi hiyo ni sehemu ya mikakati ya kukuza vipaji vya wasanii, na kamwe wanafunzi wake hawahusiani na mambo binafsi yanayowahusu viongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto apasua jipu

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema hana chuki na yeyote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Zitto, alisema baadhi ya watu wanafikiri ana chuki na viongozi wenzake...

 

10 years ago

Mwananchi

Lilian Internet apasua jipu

Mnenguaji mahiri na mkongwe nchini, Lilian Internet(35), amesema vijana wengi walio katika fani hiyo wanajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

GPL

MKE MTARAJIWA APASUA JIPU

Erick evarist
KWELI! Baada ya mitandao mbalimbali kuripoti habari zinazokinzana juu ya tukio la bwana harusi mtarajiwa aliyetajwa kwa jina la Stephano kunaswa kwenye tukio la ujambazi muda mfupi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake, Happy Merere, bi. Harusi huyo mtarajiwa ameibuka na kuanika ukweli wa mambo, Risasi Jumamosi lina full stori. Stephano akiwa na mpenzi wake mpenzi wake, Happy Merere baada ya kumvisha pete...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif apasua jipu kuhusu maendeleo

622

Mbunge wa Jimbo la Kitope ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mabomba ya kusambazia maji safi Diwani ya Wadi ya Upenja Bibi Asha Abdulla Mussa kwa ya Kijiji cha kilombero Mkoa wa Kaskazini Unguja.Kati kati yao ni Mke wa Balozi Seif Mama Asha Suleiman Iddi.

Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi alisema licha ya juhudi zinazochukuliwa na viongozi katika kuchangia nguvu za kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayowakabili wananchi katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Hasanoo huru kwa dhamana

Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu.

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima atoka hospitali, aachiwa kwa dhamana

>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa na baadaye kuachiwa na polisi kwa dhamana isiyokuwa na masharti.

 

10 years ago

GPL

ASKOFU GWAJIMA ATOLEWA POLISI KWA DHAMANA

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam jana mchana akielekea  Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kituoni hapo kupewa dhamana. Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia … ...

 

10 years ago

CloudsFM

NASSARI AACHIWA HURU KWA DHAMANA NA MAHAKAMA,BAADA YA KUTUHUMIWA KUCHOMA BENDERA YA CCM

Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya maji ya chai ameahirisha hadi Decemba 24, shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nassari (CHADEMA), kwa tuhuma za kuharibu mali ya uma kwa kuichoma yenye dhamani ya shilingi laki mbili (bendera ya CCM),pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya december 15 mwaka huu
mahakama hiyo imemuachia mbunge huyo mara baada ya kutimiza mashariti ya dhamana, ambapo shariti la kwanza ni kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani