Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar
Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii19 Aug
HATIMAYE MANSOUR HIMID AACHILIWA KWA DHAMANA
Zanzibar. Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Abraham Mwampashi katika ombi la dhamana lililofunguliwa kwa hati ya dharura, baada ya Mahakama ya Mkoa chini ya Hakimu Khamis Abdallah Shaban kumnyima dhamana ikisema kosa la...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BwsZPYwdWUHlREjZJJCN14VGA0kW62IZxO7T930-3L9YeRMgD7unOxs9gfxwrHsXtiHS1QMaV1UrhxoSPwIAyr/PICHACHADEMA.jpg?width=750)
MASHA AACHIWA KWA DHAMANA
Lawrence Masha akiwa na wanachama wa Ukawa baada ya kuachiwa. Baada ya jana kulala mahabusu ya segerea, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Masha, ambaye anashitakiwa kwa kosa la kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Kibonde aachiwa kwa dhamana Oysterbay
Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha ya matusi kwa askari wa usalama barabarani.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zQ2pP5BJqrU5nrBWsW01*r1xTJF9I4hAKVOw5t4KN8-XTHZwUa8KPGsWskce-vjtxlSXwdtcbtCoEDh48x*swH4RoKkr*fEB/MINJANEW.jpg?width=650)
MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA AACHIWA KWA DHAMANA DODOMA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania, Johnson Minja, (mwenye koti la kahawia), akisindikizwa na mawakili na wafanyabiashara wenzake. MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja ameachiwa kwa dhamana leo jijini Dodoma baada ya kushikiliwa kwa siku sita kufuatia kuondolewa dhamana ya awali kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana. Minja ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa...
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Gwajima atoka hospitali, aachiwa kwa dhamana
>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa na baadaye kuachiwa na polisi kwa dhamana isiyokuwa na masharti.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f*E8U3rGFXo919iGUTRGoHtp4t3D3sDCdwOV6mxPtGeWkk1gUDwtvhN3AV8mYvNbWQ*hfMlq--2dFHnO8Gqb**GuUq1ZU*b3/rickross2013.jpg?width=650)
RICK ROSS AACHIWA KWA DHAMANA YA DOLA MILIONI MBILI
Rapa maarufu duniani anayetokea nchi ya Marekani, Rick Ross. Rick Ross alipokuwa gerezani. MWANAMUZIKI Rick Ross wa Marekani ameachiwa huru baada ya kuweka dhamana ya dola milioni mbili kutokana na kutiwa mbaroni Juni 24 mwaka huu kwa tuhuma za kumteka nyara na kumshambulia mlinzi wake na kumtishia kwa bastola. Rapa huyo pia ameweka dhamana jumba lake lilikoko Fayette, Jimbo la Georgia, ambalo lilikuwa likimilikiwa na bondia...
11 years ago
GPLALIYEMNG’ATA HAUSIGELI NA KUMCHOMA PASI AACHIWA KWA DHAMANA
Amina Said Maige (mwenye miwani) akisubiria kupandishwa kizimbani. Amina akiwa chini ya ulinzi akisubiri kupanda kizimbani. ...akijiziba kwa aibu kabla ya kupanda kizimbani.…
11 years ago
Michuzi06 Feb
MCHUNGAJI MSIGWA AFIKISHWA MAHAKAMANI, AACHIWA KWA DHAMANA NI KUTOKANA NA KESI YA KUJERIHI
Na Francis Godwin, Iringa
MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) leo amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Iringa akituhumiwa kwa kosa la kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nduli. Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, Godfrey Isaya, Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elizabeth Swai alisema Mchungaji Msigwa alitenda kosa hilo Febrauri 5, 2014 katika kijiji cha Nduli, mjini Iringa.
Alisema Mchungaji Msigwa anashitakiwa kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania