HATIMAYE MANSOUR HIMID AACHILIWA KWA DHAMANA
Zanzibar. Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Abraham Mwampashi katika ombi la dhamana lililofunguliwa kwa hati ya dharura, baada ya Mahakama ya Mkoa chini ya Hakimu Khamis Abdallah Shaban kumnyima dhamana ikisema kosa la...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NpHI6hdhtPs/VQ7nQcVkTBI/AAAAAAAHMOI/djwll7rAVik/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-NpHI6hdhtPs/VQ7nQcVkTBI/AAAAAAAHMOI/djwll7rAVik/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p1dvjgONdeg/VQ7nPLRXu5I/AAAAAAAHMOA/jfx-qJ4EJTA/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DL5gBZbwS8c/VQ7nRV5NkII/AAAAAAAHMOU/Ge0grmUQWyY/s1600/unnamed%2B(63).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p9i-w94Y6O4/VQ7nQnJsOxI/AAAAAAAHMOM/dVo6dNlFNzw/s1600/unnamed%2B(64).jpg)
9 years ago
BBCSwahili21 Aug
Muhubiri wa Kenya aachiliwa kwa dhamana
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Khalida Zia aachiliwa kwa dhamana
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Mansour Himid akamatwa Zanzibar
ALIYEKUWA mwakilishi wa CCM wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid, amekamatwa na Jeshi la Polisi Zanzibar. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, Zanzibar,...
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Mansour aachiwa kwa dhamana Z’bar
10 years ago
GPLMANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF, ZANZIBAR
10 years ago
MichuziMANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF,ZANZIBAR
10 years ago
Mtanzania15 Aug
Mahakama: Mansour ana haki ya dhamana
![Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mansour-Yusuf-Himid.jpeg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar, imesema haina pingamizi na ombi la dhamana kwa aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansour Himid Yussuf.
Imesema kutokana na ombi hilo, mahakama imebaini kuwa limezingatia vigezo vyote vya kisheria.
Ombi hilo la dhamana liliamuliwa jana baada ya mawakili wa upande wa utetezi na Serikali kuvutana kisheria mahakamani hapo.
Baada ya mabishano hayo ya kisheria, anayesikiliza ombi...
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Mawakili wa Mansour wawasilisha hati ya kuomba dhamana
![Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mansour-Yusuf-Himid.jpeg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MAWAKILI wanaomtetea waziri wa zamani wa Zanzibar, Mansour Yussuf Himid, wamewasilisha rasmi ombi la dhamana chini ya hati ya dharura (certificate of urgency) katika Mahakama Kuu ya Zanzibar ambayo ndiyo yenye uwezo wa kutoa dhamana kwa aina ya makosa aliyoshtakiwa nayo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Katibu wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, ilieleza kuwa mawakili hao, Fatma...