Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF,ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimpongeza Mhe. Mansour Yussuf Himid baada ya kuamua kujiunga na chama hicho na kumkabidhi rasmi kadi ya CUF katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja.Mwanachama mpya wa CUF Mansour Yussuf Himid akizungumza na wanachama wenzake , baada ya kujiunga na chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara wa chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF, ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimpongeza Mhe. Mansour Yussuf Himid baada ya kuamua kujiunga na chama hicho na kumkabidhi rasmi kadi ya CUF katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini Unguja. Mwanachama mpya wa CUF Mansour Yussuf Himid akizungumza na wanachama wenzake , baada ya kujiunga na chama hicho katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mansour Himid akamatwa Zanzibar

ALIYEKUWA mwakilishi wa CCM wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid, amekamatwa na Jeshi la Polisi Zanzibar. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, Zanzibar,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo. Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.

 

10 years ago

KwanzaJamii

HATIMAYE MANSOUR HIMID AACHILIWA KWA DHAMANA

Zanzibar. Mahakama Kuu ya Zanzibar imemwachia kwa dhamana waziri wa zamani wa SMZ, Mansour Yusuph Himid ikisema hakuna kosa lisilokuwa na dhamana Zanzibar kwa mujibu wa sheria kwa kuwa si hatari kumiliki silaha, bali matumizi yake ndiyo hatari. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Abraham Mwampashi katika ombi la dhamana lililofunguliwa kwa hati ya dharura, baada ya Mahakama ya Mkoa chini ya Hakimu Khamis Abdallah Shaban kumnyima dhamana ikisema kosa la...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa jimbo la Monduli akiingia kwenye ukumbi wa mikutano ndani ya hotel ya Bahari Beach jijini Dar,kwenye mkutano wa Wanahabari jioni ya leo. Mh.Lowassa akiingia kwenye Hoteli Bahari Beach  kwa ajili ya kutangaza adhima yake ya kujiunga na UKAWA. Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa ametangaza kujiunga rasmi na Umoja wa Katiba (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) . Mh.Lowassa akiwa na viongozi wa UKAWA  katika Hoteli ya Bahari Beach Hoteli...

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour akamatwa Zanzibar

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mansour Yusuph Himid amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria imefahamika visiwani humo jana.

 

9 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CCM Lindi ajiunga na CUF

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akimpokea Mbunge wa CCM, Riziki Rurida aliyekihama chama hicho na kujiunga na CUF. Kulia ni Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwan.
Na Khamis Haji OMKR

Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi kutoka mkoa wa Lindi, Riziki Said Rurida amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Wananchi CUF.

Rurida alitangaza kukihama chama hicho na kukabidhiwa kadi ya CUF na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara wa CUF...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM



Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.

Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani