Mansour akamatwa Zanzibar
>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mansour Yusuph Himid amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria imefahamika visiwani humo jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Mansour Himid akamatwa Zanzibar
ALIYEKUWA mwakilishi wa CCM wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid, amekamatwa na Jeshi la Polisi Zanzibar. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, Zanzibar,...
10 years ago
GPLMANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF, ZANZIBAR
10 years ago
MichuziMANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF,ZANZIBAR
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mansour apandishwa kizimbani
![Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mansour-Yusuf-Himid.jpeg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Akimsomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani, Mwendesha mashtaka wa Serikali, Maulid Ali, alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Oct
9 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Sep
Mansour Rukhsa kugombea:Tume
Pingamizi latupiliwa mbali. (Zanzibar Humans right facebook)
The post Mansour Rukhsa kugombea:Tume appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki
![mansour-yussuf-himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/mansour-yussuf-himid-214x300.jpg)
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...
11 years ago
Habarileo06 Aug
Mansour kuendelea kusota rumande
ALIYEKUWA Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Mansour Yussuf Himid, amefikishwa mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, akikabiliwa na makosa matatu na kisha kurejeshwa rumande.
10 years ago
Mtanzania23 Mar
Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki
SARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...