Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki

mansour-yussuf-himidSARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mansour ajitosa uwakilishi Kiembesamaki

mansour-yussuf-himidSARAH MOSSI NA IS-HAKA HASSAN, ZANZIBAR
WAZIRI wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mansour Himid Yussuf, ametangaza kujitosa katika kinyang’anyiro cha Uwakilishi katika jimbo la Kiembesamaki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Atachukua fomu ya kuwania jimbo hilo kupitia CUF.
Mansour ambaye alifukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Agosti 26 mwaka huu, baadaye alitangaza kujiunga na CUF.
Akituhubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM wamteua Kombo kuwania uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki

 Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Mahmoud Thabit Kombo, kuwa mgombea wa kiti cha uwakilishi katika Jimbo la Kiembesamaki.

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUPIGA KURA UCHAGUZI MDOGO WA UWAKILISHI JIMBO LA KIEMBESAMAKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Kituo chake cha kupigia Kura, kwa ajili ya kushiriki kupiga kura ya kumchagua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki katika uchaguzi mdogo, uliofanyika leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Mgombea wa Jimbo hilo, Mahmoud Thabit Kombo. Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo, Mansour Yusuph Himid, kuvuliwa uanachama...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama na wapenzi wa CUF Kiembesamaki, Unguja, leo

 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo. Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour akamatwa Zanzibar

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mansour Yusuph Himid amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria imefahamika visiwani humo jana.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mansour Kidedea Chukwani

The post Mansour Kidedea Chukwani appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mtanzania

Mansour apandishwa kizimbani

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Is-haka Omar, Zanzibar

ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.

Akimsomewa mashitaka hayo jana  mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani,  Mwendesha mashtaka wa Serikali,  Maulid Ali,  alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour asomewa mashtaka matatu

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yusuph Himid amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu ya kupatikana na bunduki na risasi 407 kinyume na Sheria namba 2 ya 1991 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani