Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mansour Kidedea Chukwani

The post Mansour Kidedea Chukwani appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

chukwani United yanyakuwa Kombe la Muungano Zanzibar

Hatimae Bingwa wa Mashindano ya Kombe ya Muungano yaliyoanza kutimua vumbi tarehe 23 April Mwaka huu na kushirikisha Timu za Soka zipatazo Kumi na Moja za Jimbo la Kiembe Samaki Wilaya ya Magharibi amepatikana na kufikia hatma yake kwenye uwanja wa michezo wa Kiembe Samaki.
Chukwani United ilitawadhwa kuwa bingwa wa kombe hilo baada ya kuikung’uta New Generation ya Kiembe samaki kwa Magoli mawili kwa bila kwenye pambano la fainali ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa...

 

5 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA UVUNJAJI WA BARAZA LA 9 LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-CHUKWANI LEO

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akiagana na Spika wa  Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kumalizika kwa sherehe za  kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika Ukumbi wa Baraza hilo leo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News CCM Unguja Kiembe samaki ,Mahonda ,Chukwani wanaongoza baadhi ya vituo :CUF Malindi

kuchanganywa kwa form za wagombea Chukwani / Kiembe samaki kumesababisha mtafaruko na CCM kuibuka washindi watu wengine hawajapiga kura Jamani haya sio matokeo ya mwisho ni vituo tu,tusiwe na mumha mizani inaweza kulalia either side.. si […]

The post Breaking News CCM Unguja Kiembe samaki ,Mahonda ,Chukwani wanaongoza baadhi ya vituo :CUF Malindi appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour akamatwa Zanzibar

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mansour Yusuph Himid amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria imefahamika visiwani humo jana.

 

11 years ago

Mtanzania

Mansour apandishwa kizimbani

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid

Na Is-haka Omar, Zanzibar

ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.

Akimsomewa mashitaka hayo jana  mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani,  Mwendesha mashtaka wa Serikali,  Maulid Ali,  alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...

 

11 years ago

Habarileo

Mansour kuendelea kusota rumande

ALIYEKUWA Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Mansour Yussuf Himid, amefikishwa mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, akikabiliwa na makosa matatu na kisha kurejeshwa rumande.

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour asomewa mashtaka matatu

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yusuph Himid amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu ya kupatikana na bunduki na risasi 407 kinyume na Sheria namba 2 ya 1991 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mansour Rukhsa kugombea:Tume

Pingamizi latupiliwa mbali. (Zanzibar Humans right facebook)

The post Mansour Rukhsa kugombea:Tume appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mansour Himid akamatwa Zanzibar

ALIYEKUWA mwakilishi wa CCM wa Jimbo la Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid, amekamatwa na Jeshi la Polisi Zanzibar. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, Zanzibar,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani